Maboss wa kitz hua mnafanya wenyew myibiwe,.Nimefungua biashara mpya na nimetengeneza ajira kwa mtaaalmu mmoja lakini katika mwezi wa kwanza ananiibia kama tuna hisa naye. Tufanyeje wajasiriamali?
Huwezi kufungua biashara hiyo bila kufanya mikataba na wahusika.Jambo la kwanza ni lazima uwe na supervisor ambaye ndiye unatumaia cheti chake kufanya registration.Mikataba yote hiyo ni lazima mkubaliane kiwango cha malipo.Kwa watanzania hata ulipeje,wizi imekuwa ni sifa kuuMaboss wa kitz hua mnafanya wenyew myibiwe,.
Kuna mdau alikuwa expatriate miaka ya nyuma.., baada ya kuona maisha ya Wabongo wanayoishi (wengine ni zaidi ya hata huko alikotoka) na kipato / ujira wanachopata..., alikuja na conclusion kwamba Wabongo wote wezi..., That was then...Nimefungua biashara mpya na nimetengeneza ajira kwa mtaaalmu mmoja lakini katika mwezi wa kwanza ananiibia kama tuna hisa naye. Tufanyeje wajasiriamali?
Usikute na wewe mwenyewe ni mtumishi unatuibia madawa yetu hospital unahamishia kwako hio ni laws of nature yetu waswahili wizi unaanzia juu.
Mtawala anaiba anaficha Ulaya baba anaiba ofisin mama anamuibia baba anatuma kwao dada wa kazi nae anakata zake akitumwa dukani anatuma kwao.
Automating...!!!Watanzania ni wagumu kwel ukianza kuwaletea automation..Wanaona gharama sanaa ila zinasaidia sana.
Kuna jamaa mmoja ana kampuni ya clearing and forwarding alikua na changamoto sana hasa uzembe wa wafanyakaz ofisini ku serve wateja.
Ni hivi, yeye anawateja Drc, zambia, zimbabwe, malawi, mozambique ambapo huwa ana fanya nao kazi.
Sasa tatizo lijaka wafanya kaz wake wavivu kisheniz plus undugu kujuana kazin ikawa inachukua mlolongo sana ku serve wateja mpaka wengine wakawa wanamuoa jamaa hayuko serious na biashara na vile kujuana tu na mwenye boss ndio kinawafanya wateja waendelee kuleta kaz ofisin ila operations hovyo sana.
Mteja toka hizo nchi, akitaka gari yake iwe cleared port Dsm atatakiwa kuwa na official agreement (mkataba).
Sasa ile hustle ya kuandaa mkataba , wausaini huku kisha wamtumie mteja a print na yeye aweke particular zake na asign kisha na yeye autume tena ikaonekana kero plus time consuming plus matumiz makubwa ya resources kama karatas na wino wa printer/scanner.
Kwa bahat mbaya au nzuri akakutanishwa na mimi akanielezea hiyo hustle na vile watendaji wake wanamuangusha, nikasema usijali hilo hesabu limeisha..Nikasema nipe masaa ma 3 nifikiri nini naweza fanya kisha nitumie sample ya contracts.
Within 5 hours baada ya kufikiri vizur Nika design software ambayo ika automate hiyo process nzima kias kwamba hakuna mfanya kazi aliyetakiwa kuhusika hapo tena.
Nikaifanya hivi,
1. Order ikifika ofisin, secretary anai register na kuweka email ya mteja na akii save tu au automatic inatuma email kwa mteja yenye link
2. Mteja akiifungua link anakutana na form ya kujaza particular zake kisha akii save tu inarudisha email instantly ofisin
3. Ofisin boss / admin akii approve tu hiyo response ya mteja automatically ina generate contract na kutuma kwa mteja ikiwa na signature na stamp.
Huwa haamini mpaka leo kwamba tatizo lake likaisha within 8 hours toka akutane na mimi
linapokuja suala la kua apply automation/ mifumo katika biashara kuna mambo mengi ya kufanya na kuzingatia ili kuondokana na changamoto inayolengwa kutatuliwa......, katika vitu kama hivyo; nini Cha kufanya?
Tangazo zuri, ninaamini utapata wadau wengine kwaaili ya hicho unachofanya .Watanzania ni wagumu kwel ukianza kuwaletea automation..Wanaona gharama sanaa ila zinasaidia sana.
Kuna jamaa mmoja ana kampuni ya clearing and forwarding alikua na changamoto sana hasa uzembe wa wafanyakaz ofisini ku serve wateja.
Ni hivi, yeye anawateja Drc, zambia, zimbabwe, malawi, mozambique ambapo huwa ana fanya nao kazi.
Sasa tatizo lijaka wafanya kaz wake wavivu kisheniz plus undugu kujuana kazin ikawa inachukua mlolongo sana ku serve wateja mpaka wengine wakawa wanamuoa jamaa hayuko serious na biashara na vile kujuana tu na mwenye boss ndio kinawafanya wateja waendelee kuleta kaz ofisin ila operations hovyo sana.
Mteja toka hizo nchi, akitaka gari yake iwe cleared port Dsm atatakiwa kuwa na official agreement (mkataba).
Sasa ile hustle ya kuandaa mkataba , wausaini huku kisha wamtumie mteja a print na yeye aweke particular zake na asign kisha na yeye autume tena ikaonekana kero plus time consuming plus matumiz makubwa ya resources kama karatas na wino wa printer/scanner.
Kwa bahat mbaya au nzuri akakutanishwa na mimi akanielezea hiyo hustle na vile watendaji wake wanamuangusha, nikasema usijali hilo hesabu limeisha..Nikasema nipe masaa ma 3 nifikiri nini naweza fanya kisha nitumie sample ya contracts.
Within 5 hours baada ya kufikiri vizur Nika design software ambayo ika automate hiyo process nzima kias kwamba hakuna mfanya kazi aliyetakiwa kuhusika hapo tena.
Nikaifanya hivi,
1. Order ikifika ofisin, secretary anai register na kuweka email ya mteja na akii save tu au automatic inatuma email kwa mteja yenye link
2. Mteja akiifungua link anakutana na form ya kujaza particular zake kisha akii save tu inarudisha email instantly ofisin
3. Ofisin boss / admin akii approve tu hiyo response ya mteja automatically ina generate contract na kutuma kwa mteja ikiwa na signature na stamp.
Huwa haamini mpaka leo kwamba tatizo lake likaisha within 8 hours toka akutane na mimi
Hapa umejibu vizuri sana, nafikiri automation nzuri ni ile inayoiondoa uwezo wa mfanyakazi kufanya kitu fulani kwa matakwa yeye mwenyewe, namaanisha ile inayomlazimu kufanya kama jinsi ambavyo utaratibu unadai.linapokuja suala la kua apply automation/ mifumo katika biashara kuna mambo mengi ya kufanya na kuzingatia ili kuondokana na changamoto inayolengwa kutatuliwa.
NA huwa kuna uwezekano baada ya kufanya study ya namna processes zilivyo katika biashara husika ambazo hutoa loop hole yenye kuleta hiyo changamoto unayotaka kui solve , unaweza kujikuta kwa kuingiza automation unalazimika kubadili hata namna flan flan za logistics za biashara yako ili ku support utendaji kaz wa system na kisha system ikupe majib unayoya hitaji.
Kwahiyo hakuna namna moja tuu au mbil au tatu specific ila inategemeana na approach ambayo kwako inaweza kuwa friendly baada ya kwanza kuusoma utaratibu uliopo. Maana kuna automation zingine unaweza kuta zina refusha na kuongeza milolongo..zingine zina complicate kabisa utaratibu japo zitakuondolea changamoto..KWAHIYO cha kufanya ni mtu unayempa hiyo kaz kwanza a study logistics zako azielewe vizuri kisha a propose solution, na we uielewe na kuona kama itakua friendly amd simple then mna implement..
Samahan kama nitakua sijajibu kile ulitaman nijibu mkuu Kamanda wa Kweli
linapokuja suala la kua apply automation/ mifumo katika biashara kuna mambo mengi ya kufanya na kuzingatia ili kuondokana na changamoto inayolengwa kutatuliwa.
NA huwa kuna uwezekano baada ya kufanya study ya namna processes zilivyo katika biashara husika ambazo hutoa loop hole yenye kuleta hiyo changamoto unayotaka kui solve , unaweza kujikuta kwa kuingiza automation unalazimika kubadili hata namna flan flan za logistics za biashara yako ili ku support utendaji kaz wa system na kisha system ikupe majib unayoya hitaji.
Kwahiyo hakuna namna moja tuu au mbil au tatu specific ila inategemeana na approach ambayo kwako inaweza kuwa friendly baada ya kwanza kuusoma utaratibu uliopo. Maana kuna automation zingine unaweza kuta zina refusha na kuongeza milolongo..zingine zina complicate kabisa utaratibu japo zitakuondolea changamoto..KWAHIYO cha kufanya ni mtu unayempa hiyo kaz kwanza a study logistics zako azielewe vizuri kisha a propose solution, na we uielewe na kuona kama itakua friendly amd simple then mna implement..
Samahan kama nitakua sijajibu kile ulitaman nijibu mkuu Kamanda wa Kweli
Zipo kaka kayanda01 .Zipo nyingi tu japo zinazotumika online ni nyingi zaidi.Mkuu, kwa mtu wa Duka la takataka au mfano Duka la spea... kuna 'stock/inventory management system' ambayo ni simple na isiyotegemea internet (yaani itumike offline)?
Nafanya ukaguzi wa stock on weekly basis... ukaguzi wangu ni kumonitor mambo makuu matatu: 1. Bidhaa ngapi zimeuzwa? 2. Mauzo yote kwa week ni tsh ngapi? 3. Stock baki ni kiasi gani?
Kitu kama hicho....
Kijana ana uwezo wa kutumia smartphone (siyo computer).
Uko sahihi mkuu..Hapa umejibu vizuri sana, nafikiri automation nzuri ni ile inayoiondoa uwezo wa mfanyakazi kufanya kitu fulani kwa matakwa yeye mwenyewe, namaanisha ile inayomlazimu kufanya kama jinsi ambavyo utaratibu unadai.
Asiwe na nafasi kabisa ya kunegotiate kivyakevyake, abanwe ili ale kile tu anachostahili.
πππTangazo zuri, ninaamini utapata wadau wengine kwaaili ya hicho unachofanya .
Zipo kaka kayanda01 .Zipo nyingi tu japo zinazotumika online ni nyingi zaidi.
Lakin za offline pia inawezekana.
Faida ya hiyo unayotaka wewe ni:
1. Gharama za internet hazitakuwepo
(Hii hasa ndio adbantage kubwa) japo ina changamoto zake.
HApo utahitaji tu kuwa computer yako basi ambapo humo una install desktop application kwa ajil ya kaz hiyo unayo taka.
Au unawwza install webserver /local server kama uta preffer kutumia web-application isiyohitaji internet. Maisha yataendelea.
CHANGAMOTO ya hii setup ya offline
1. risk ya kupoteza data zako ni kubwa pindi laptop / desktop ina haribika (hasa hard disk iki collapse au laptop ikiibiwa ai virus wakala files zako) hapa hatar ya kupoteza taarifa ni nje nje.
2. Itakulazimu ili kukagua hesabu zako basi ni lazima uwepo hapo ofisini , hutaweza ku acess data nje ya ofisn kwakua data zako zitakua stored locally instead of cloud storage.
3. Kijana wako atalazimika kuwa computer literate maana locall application hutaweza kui install kwenye simu. Tofaut kama ingekua online bas dogo angeweza tu kutumia tablet/simu ku feed sales records.
NB
All in all chochote unachotakakinawezekana na uynawwza pata watu waka design hiyo solution ukiwapa scenario.Wapo wengi tuu
Online system ni nzuri zaidi kwakua inakupa fursa ya ku take advantage juu ya mambo mengine mengi ambayo sio lazima wewe ufanye ila syatem itafanya badala yako mfano.Thanks mkuu. Kwa maelezo yako, then ya online ni nzuri zaidi.