Zipo kaka
kayanda01 .Zipo nyingi tu japo zinazotumika online ni nyingi zaidi.
Lakin za offline pia inawezekana.
Faida ya hiyo unayotaka wewe ni:
1. Gharama za internet hazitakuwepo
(Hii hasa ndio adbantage kubwa) japo ina changamoto zake.
HApo utahitaji tu kuwa computer yako basi ambapo humo una install desktop application kwa ajil ya kaz hiyo unayo taka.
Au unawwza install webserver /local server kama uta preffer kutumia web-application isiyohitaji internet. Maisha yataendelea.
CHANGAMOTO ya hii setup ya offline
1. risk ya kupoteza data zako ni kubwa pindi laptop / desktop ina haribika (hasa hard disk iki collapse au laptop ikiibiwa ai virus wakala files zako) hapa hatar ya kupoteza taarifa ni nje nje.
2. Itakulazimu ili kukagua hesabu zako basi ni lazima uwepo hapo ofisini , hutaweza ku acess data nje ya ofisn kwakua data zako zitakua stored locally instead of cloud storage.
3. Kijana wako atalazimika kuwa computer literate maana locall application hutaweza kui install kwenye simu. Tofaut kama ingekua online bas dogo angeweza tu kutumia tablet/simu ku feed sales records.
NB
All in all chochote unachotakakinawezekana na uynawwza pata watu waka design hiyo solution ukiwapa scenario.Wapo wengi tuu