Nimemuambia wife awe anasuka style hii ya nywele ili ku-save cost, kaishia kunisunya na kunibinulia midomo

Nimemuambia wife awe anasuka style hii ya nywele ili ku-save cost, kaishia kunisunya na kunibinulia midomo

Embu onyesha picha za nywele zake kwa sas imeakaje
 
Mbona staili sio mbaya. Pambana tuu umpe ndugu yangu maana asije akapewa na JIRANI ukajikuta unarudi JF kwa machungu ya kutaka kujitundika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nilimuomba Wife tupunguze gharama za uendeshaji wa maisha yetu kwa kujibana sana, pendekezo langu la kwanza nilipendekeza Wife anyoe nywele zake alizosuka,
Mkuu jipange kisaikolojia, atakuja na brazilian hair huwajui hao, utapagawa na kuanza kupiga mayowe,
financially utakuwa worse zaidi coz utahamia kupunguza mawazo bar, nasisitiza, tuishi nao kwa akili,
 
Hiyo twende kilioni ni buku mbili,shida ya hizi familia ni kupata mtu atakaye kuelewa nywele za miaka kumi unashindwa kuziundia staili mbalimbali ambazo hazitumii gharama?
Binafsi nywele ya mkono siwezi kuisuka nkatembea nayo naona kama kichwa sio changu tena
Kwa kichwa gani?? Kama boga la uvinza😂😂😂😂jokes
 
Kwa kichwa gani?? Kama boga la uvinza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jokes
Yaani huwa sielewi kabisa yaani nkisuka ya mkono ujue nataka nywele ipumue na nkiwa natoka nje ni mwendo wa viremba
 
Pole ....Ila inategemea na kichwa cha MTU Tu......wengine nywele tano Tu balaaa bichwa limenyooka kama kioo cha TV flat
Mmh sio kwa nywele za mkono shida na mmewangu namjua yaani ntasemwa kila saa,utasikia ndo maana umesuka twende kilioni nani anataka sasa
 
Back
Top Bottom