Nimemuambia wife awe anasuka style hii ya nywele ili ku-save cost, kaishia kunisunya na kunibinulia midomo

Watu tunatofautiana sana, mie manywele yangu wala siyaelewi mwaka mzima naweza kupitisha bila kusuka...naosha, paka mafuta nabana chicha safari...
 
A woman's best insurance is some money of her own.

Hapo mnakuwa hamsumbuani over small things.

I hope hautajali akitumia hela yake kusuka.

She's a woman, she doesnt have to look unkempt just because the husband is broke.
[emoji817]
 
Kuna vistyle vizur tu vya natural nywele lakin hawa ngulumbili hawaelew,kuelewa kwao mpaka waweke makatan pambafu zao

Mwanamke mwenye kichwa kisicho kuwa na kisogo au mafiga hana haja ya kusuka mamisuko ya gharama
 
Kwann mnaoa wanawake wasio waheshimu mnapotoa magizo yenu mm mke wangu nikimwambia kitu aina kupinga mm ndo baba sinuniwi nikiamua nimeamua...
 
Watu tunatofautiana sana, mie manywele yangu wala siyaelewi mwaka mzima naweza kupitisha bila kusuka...naosha, paka mafuta nabana chicha safari...
Wewe hauwajui watu wenye vinywele visivyoeleweka wanavyoangahika navyo[emoji23]

Mie nawatizamaga[emoji3061]
 
25,000 -30,000 watu hawajui tu kunyoa ni gharama kuliko kusuka [emoji28][emoji28]hapo bado hujaenda kwa kina didy expert kunyoa 60,000- 100,000 hapo hujanunua mafuta ya nywele na spray
Bado shampoo nzuri ya kuziosha kila siku..

Siku nyingine ukitaka mbwembwe bado rangi, au syle mbali mbali kama kwa pasco makeover ..Ni gharama kweli kuwa na short hair
 
Sisi ambao ni only son and family saviour tumewakataza mama zetu kusuka, wanyoe kama wasabato tunaruhusiwa kucomment humu.
 
Bado shampoo nzuri ya kuziosha kila siku..

Siku nyingine ukitaka mbwembwe bado rangi, au syle mbali mbali kama kwa pasco makeover ..Ni gharama kweli kuwa na short hair
Gharama hizo zimeanza lini jamani? Mbona

Kifungilo Seminary mlinyoa kwa topaz za 200 term nzima gharama haikuzidi buku!
 
Kosti gani mkuu acha uwongo ,unataka ukiwa anakuoshea vyombo au kupiga deki uwe unazishika kwa ukamilifu fupifupi Mana hizo hafungi lile lemba ,zabuku hizo nimekuelewa
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ€£
 
Bado shampoo nzuri ya kuziosha kila siku..

Siku nyingine ukitaka mbwembwe bado rangi, au syle mbali mbali kama kwa pasco makeover ..Ni gharama kweli kuwa na short hair

Wanahisi kunyoa ni kazi rahisi labda unyoe kama msabato ila vinginevyo [emoji28][emoji28][emoji28]ni majanga gel nzuri ya nywele kale kakopo kadogo mtu unatumia wiki kameisha labda kama hauna mishemishe za kutoka kila siku
 
Gharama hizo zimeanza lini jamani? Mbona

Kifungilo Seminary mlinyoa kwa topaz za 200 term nzima gharama haikuzidi buku!

Sasa seminary unyoe na topaz, jeshini unyoe na topaz na ndani ya ndoa [emoji28][emoji28][emoji28]abeg oh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…