Nimemuambia wife awe anasuka style hii ya nywele ili ku-save cost, kaishia kunisunya na kunibinulia midomo

Nimemuambia wife awe anasuka style hii ya nywele ili ku-save cost, kaishia kunisunya na kunibinulia midomo

Piga chini huyo sio mke mtu ambae hakuheshimu unaishi nae vipi? Piga chini watoto mtalea tu au mkate makofi na kelebu za maana ukimuendekeza hujengi wewe 30 ni mifuko miwili ya cement
 
25,000 -30,000 watu hawajui tu kunyoa ni gharama kuliko kusuka [emoji28][emoji28]hapo bado hujaenda kwa kina didy expert kunyoa 60,000- 100,000 hapo hujanunua mafuta ya nywele na spray

Nilishawahi kwenda kutengeneza nywele kwa diddy expert kipindi nanyoa
Bad luck sikuulizia bei mwanzoni
Nishamaliza ndio namwambia shingapi
Akanambia 70000 niliishiwa na nguvu mwilini ila niliitoa nikarud kwnye kusuka rasmi
 
Nilishawahi kwenda kutengeneza nywele kwa diddy expert kipindi nanyoa
Bad luck sikuulizia bei mwanzoni
Nishamaliza ndio namwambia shingapi
Akanambia 70000 niliishiwa na nguvu mwilini ila niliitoa nikarud kwnye kusuka rasmi

Dooh pole, shukuru ulikua nayo sasa hapo ndo hauna una ka 25 kako kwenye pochi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tafta hela mkuu, 5000 ni ya kuoshea nywele saluni bado kusuka
 
Tafta hela mkuu, 5000 ni ya kuoshea nywele saluni bado kusuka

Mbona mbagala kuosha nywele ni 1000. Jamaa asimamie msimamo wake mke asimvuruge tena abadilishe utaratibu asubuhi wasinywe chai, watoto ajirahidi wasome shule za serikali ili wabane matumizi ya familia na umeme wasitumie watumie vibatali asimuendekeze kabisa mke wake
 
Hiyo twende kilioni ni buku mbili,shida ya hizi familia ni kupata mtu atakaye kuelewa nywele za miaka kumi unashindwa kuziundia staili mbalimbali ambazo hazitumii gharama?
Binafsi nywele ya mkono siwezi kuisuka nkatembea nayo naona kama kichwa sio changu tena
Dah Mimi sikuhizi husuka za mkono napendeza staki mzigo kichwani, Sasa sijui ndio nazeeka maana zamani nilikuwa siwezi kama wewe, ila nowdays sipendi kusuka Rasta ukichangia na hili joto ndio haswa
 
Nilikua nayo wapi
Balance yangu ilikua 30k
Nilipiga simu kuomba msaada mana maji yalikua yamenifika hapa

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]pole mwe didy na mwenzake cthjoel aisee usiende hujajua bei utaumbuka
 
Back
Top Bottom