Nimemuelewa mkurugenzi TCAA hii ni ajali kama zingine japo kuondokewa na mpendwa hakuzoeleki

Narudia tena huna akili wewe, mwenye akili timamu yoyote hawezi kusema vifaa vya uokoaji visinunuliwe kwa kuwa ajali zinatokea mara chache. Vifaa vya JWTZ kama mabomu, vifaru na ndege za kivita zinanunuliwa kwa sababu gani kama vita ya mwisho ilikuwa 50yrs huko. Vitu vyote hivyo vinafanywa kwa ajili ya utayari, sasa kwa nini vifaa vya uokoaji tushindwe?
 

..sikiliza mahojiano ya Clouds na Eng.Mushumbusi.

..mimi nimemsikiliza na nimeshawishika na anachokisema kwamba runway ya uwanja wa ndege wa Bukoba ni hatarishi.
 
Hapo kwenye changamoto ya uwanja natofautiana kidogo na mhandisi.
Kama issue ni uwepo wa milima then uwanja wa Songwe unaweza kuwa hatarishi zaidi sababu umezungukwa na milima. Au uwanja wa Arusha ambao uko parallel na barabara ya magari.
The issue is Marubani wako well trained na well informed juu ya namna ya kuapproach uwanja husika kwa kuzingatia topography ya eneo husika.
 
Mkuu naona mkeo kakunyima unyumba hasira unakuja zimalizia katika uzi wangu!.

Kuna masuala yana umuhimu zaidi ya mengine, huwezi kufananisha jeshi la uokoaji wa abiria wa ndege inayoanguka.

Vipi kama hiyo ndege ingelipukia huko huko angani, hao waokoaji na vifaa vyao wangemuokoa nani?.

Kama ndege ingeangukia katikati ya ziwa hao waokoaji wangeweza vipi kufika na kufanya uokoaji?. Hivyo vifaa kama aerial loader ni ghali sana na uzoefu unaonyesha ajali zinatokea mara chache sana. Huyo rubani Rubaga ni mzoefu sana alikuwa, lakini siku ya mambo kuharibika haijulikani.

Ni maamuzi yanayofanyika kwa kuzingatia ushauri wa kitaalam wa mamlaka zenye kuhusika na uokoaji, kama wanaona inafaa kutumia mabilioni ya pesa ya walipa kodi kununulia kifaa ambacho kinakwenda kuozea katika yadi yao, basi sawa na wafanye hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…