Hivi kwa dunia ya leo unaweza kuficha uko nchi gani? Au dogo huna uelewa na mambo unayoyazungumzia?Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na kutotaja nchi yenyewe kutokana na barua kali ya kujiuzulu na press kali ya kutolea ufafanuzi aliyoitoa hadharani. Japo vyote alivyovifanya kwa nchi nyingi za kidemokrasia ingechukuliwa jambo la kawaida tu ila sio kwa nchi aina ya bongo, fikiria anavyosema walivyombeba dada yake wakamtia pingu na kumtandika mabao kweli kweli kama angekuwa ni Polepole mwenyewe ingekuaje!
Inawezekana Polepole angetaja nchi aliyopo kwa sasa wangeiomba hiyo serikali imu extradite (imrudishe bongo kama mhalifu aliyekimbia) kwa kosa la uhaini kwa hiyo kwa busara ikibidi aseme yuko bongo tu.
Wewe kidampa, kwani nchi zinatuma taarifa kwa nchi nyingine kuhusu raia walioingia na passports zao?Hivi kwa dunia ya leo unaweza kuficha uko chi gani? Au dogo huna uelewa na mambo unayoyazungumzia?
Passport katumia ya nchi gani kwenda huko alikokwenda? Ahahahahaha!!
Ahahahahaha!!Wewe kidampa, kwani nchi zinatuma taarifa kwa nchi nyingine kuhusu raia walioingia na passports zao?
Ndiyo interpol wana share information sio siri any more ukiwa na na E-passport utajulikana ulienda wapi tarehe gani na status yako ya kukaa kwenye hiyo nchi.Wewe kidampa, kwani nchi zinatuma taarifa kwa nchi nyingine kuhusu raia walioingia na passports zao?
Simple eti ebu wamrudishe Mange kimambi kwanzaAlichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na kutotaja nchi yenyewe kutokana na barua kali ya kujiuzulu na press kali ya kutolea ufafanuzi aliyoitoa hadharani. Japo vyote alivyovifanya kwa nchi nyingi za kidemokrasia ingechukuliwa jambo la kawaida tu ila sio kwa nchi aina ya bongo, fikiria anavyosema walivyombeba dada yake wakamtia pingu na kumtandika mabao kweli kweli kama angekuwa ni Polepole mwenyewe ingekuaje!
Inawezekana Polepole angetaja nchi aliyopo kwa sasa wangeiomba hiyo serikali imu extradite (imrudishe bongo kama mhalifu aliyekimbia) kwa kosa la uhaini kwa hiyo kwa busara ikibidi aseme yuko ukipata jibu kwanini mange kimambi hawamrudishi basi tambua hata polepole hawawezi mrudishq
We kilaza Sana na haujui chochoteNdiyo interpol wana share information sio siri any more ukiwa na na E-passport utajulikana ulienda wapi tarehe gani na status yako ya kukaa kwenye hiyo nchi.
Mkuu nchi yetu imebarikiwa kuwa na wajinga wengi Sana .Simpe eti ebu wamrudishe Mange kimambi kwanza
Sawa mkuu wewe unae jua tuelezee faida za E-passports mkuu.We kilaza Sana na haujui chochote
We endelea kujadili mada za dini za watu wenye low IQ na mada za mapenziSawa mkuu wewe unae jua tuelezee faida za E-passports mkuu.
Kuna habari kuwa Polepole yupo Florida, US. Kama ni kweli, US haina kesi ya kumfanyia extradition.Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na kutotaja nchi yenyewe kutokana na barua kali ya kujiuzulu na press kali ya kutolea ufafanuzi aliyoitoa hadharani. Japo vyote alivyovifanya kwa nchi nyingi za kidemokrasia ingechukuliwa jambo la kawaida tu ila sio kwa nchi aina ya bongo, fikiria anavyosema walivyombeba dada yake wakamtia pingu na kumtandika mabao kweli kweli kama angekuwa ni Polepole mwenyewe ingekuaje!
Inawezekana Polepole angetaja nchi aliyopo kwa sasa wangeiomba hiyo serikali imu extradite (imrudishe bongo kama mhalifu aliyekimbia) kwa kosa la uhaini kwa hiyo kwa busara ikibidi aseme yuko bongo tu.
Kuna habari kuwa Polepole yupo Florida, US. Kama ni kweli, US haina kesi ya kumfanyia extradition.
Kulikuwa na tetesi kwamba kaomba ukimbizi Sweden, lakini watu wa serikali ya Sweden wamesema hawajapata maombi rasmi ya ukimbizi.
Je pole pole hawezi kuwa ameolewa ?Mange Kimambi ameolewa na ana watoto Marekani, kesi yake ngumu zaidi kidogo.
Hajataja nchi? kwani +1305... ni nchi gani?Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na kutotaja nchi yenyewe kutokana na barua kali ya kujiuzulu na press kali ya kutolea ufafanuzi aliyoitoa hadharani. Japo vyote alivyovifanya kwa nchi nyingi za kidemokrasia ingechukuliwa jambo la kawaida tu ila sio kwa nchi aina ya bongo, fikiria anavyosema walivyombeba dada yake wakamtia pingu na kumtandika mabao kweli kweli kama angekuwa ni Polepole mwenyewe ingekuaje!
Inawezekana Polepole angetaja nchi aliyopo kwa sasa wangeiomba hiyo serikali imu extradite (imrudishe bongo kama mhalifu aliyekimbia) kwa kosa la uhaini kwa hiyo kwa busara ikibidi aseme yuko bongo tu.
Mkuu wewe unajadili mada gani unao elewa zaidi kama hujui maana na functions za E-passport mkuu?We endelea kujadili mada za dini za watu wenye low IQ na mada za mapenzi