JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 9,120
- 9,727
Kwa hiyo nchi hiyo lazima iwe Tanzania!?Mkuu, kuwa ukimbizini Marekani katika kipindi cha Trump ni risk kubwa sana, muda wowote unaweza kutupiwa kwenye ndege kurudishwa kwenu.
Kwa hiyo nchi hiyo lazima iwe Tanzania!?Mkuu, kuwa ukimbizini Marekani katika kipindi cha Trump ni risk kubwa sana, muda wowote unaweza kutupiwa kwenye ndege kurudishwa kwenu.
Extradiction kwa kosa gani alilofanya? Ninyi ndio mnafanya hao police wasiogope kukamata wananchiwa wasio na hatia. Polepole hajafanya kosa....akamatwe kwa kosa gani? Acheni uoga, simamieni ukweli.Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na kutotaja nchi yenyewe kutokana na barua kali ya kujiuzulu na press kali ya kutolea ufafanuzi aliyoitoa hadharani. Japo vyote alivyovifanya kwa nchi nyingi za kidemokrasia ingechukuliwa jambo la kawaida tu ila sio kwa nchi aina ya bongo. Fikiria anavyosema wahuni walivyombeba dada yake mzobemzobe wakamtia pingu na kumtandika mabao kweli kweli, kama angekuwa ni Polepole mwenyewe ingekuaje!
Inawezekana Polepole angetaja nchi aliyopo kwa sasa wangeiomba hiyo serikali imu extradite (imrudishe bongo kama mhalifu aliyekimbia) kwa kosa la uhaini kwa hiyo kwa busara ikibidi aseme yuko bongo tu.
Ndugu technology is so manipulative...Hajataja nchi? kwani +1305... ni nchi gani?
Mwambie arudi Tanzania sasa uone, kwani wakina Lema walipokimbilia Canada walikuwa wamefanya kosa gani? Maria Sarungi na Gado walioko ukimbizini Kenya wamefanya kosa gani??Extradiction kwa kosa gani alilofanya? Ninyi ndio mnafanya hao police wasiogope kukamata wananchiwa wasio na hatia. Polepole hajafanya kosa....akamatwe kwa kosa gani? Acheni uoga, simamieni ukweli.
Kwani mgeni akitakiwa na mamlaka kuondoka nchini Tanzania, sheria inalazimisha arudi kwenye nchi yake au aondoke tu!?Sasa raia wa Tanzania atarudishwa wapi zaidi ya Tanzania?!
Umeulizwa extradition kwa kosa gani , unajibu utopolo. Extradition kwa kosa gani!?Mwambie arudi Tanzania sasa uone, kwani wakina Lema walipokimbilia Canada walikuwa wamefanya kosa gani? Maria Sarungi na Gado walioko ukimbizini Kenya wamefanya kosa gani??
Inategemea ni mgeni wa aina gani ametakiwa na nani, huyo aliyemtaka anawahidi nini huko alipo na uko alipo hao viongozi ni aina gani. Ruto aliruhusu Kiza Bisigye kutekwa na kurudishwa Uganda.Kwani mgeni akitakiwa na mamlaka kuondoka nchini Tanzania, sheria inalazimisha arudi kwenye nchi yake au aondoke tu!?
Nimekuuliza sheria wewe unaleta porojo za kutekana. Kiiza Besigye kutekwa ni sheria hiyo!?Inategemea ni mgeni wa aina gani ametakiwa na nani, huyo aliyemtaka anawahidi nini huko alipo na uko alipo hao viongozi ni aina gani. Ruto aliruhusu Kiza Bisigye kutekwa na kurudishwa Uganda.
Basi kabidhini bandari kwa Trump mletewe Polepole.Siasa za kimataifa haziangalii sheria na demokrasia sana, ni maslahi ya nchi kwanza na misimamo ya watawala.
Kwenye ile press yake mbona alikuwa na wasisi kama Sativa alikuwa nyuma yake!!?Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na kutotaja nchi yenyewe kutokana na barua kali ya kujiuzulu na press kali ya kutolea ufafanuzi aliyoitoa hadharani. Japo vyote alivyovifanya kwa nchi nyingi za kidemokrasia ingechukuliwa jambo la kawaida tu ila sio kwa nchi aina ya bongo. Fikiria anavyosema wahuni walivyombeba dada yake mzobemzobe wakamtia pingu na kumtandika mabao kweli kweli, kama angekuwa ni Polepole mwenyewe ingekuaje!
Inawezekana Polepole angetaja nchi aliyopo kwa sasa wangeiomba hiyo serikali imu extradite (imrudishe bongo kama mhalifu aliyekimbia) kwa kosa la uhaini kwa hiyo kwa busara ikibidi aseme yuko bongo tu.
Kwa kukusaidia tu interpol haihusiki na mambo ya airport moja kwa moja hivyo hawawezi kuomba taarifa moja kwa moja wapewe [real time data] hivyo ili interpol ikutafute lazima local police wa nchi yako wafile taarifa nao pia wao wataifile kwenda nchi uliyokimbilia ndio upewe red notice ila haya yote hayafanyiki kienyeji interpol ni shirika lenye integrity haliendeshwi kwa simu za maelekezo kutoka na ni rahisi tu ukitaka kuona red notice zinatolewaje na walio na red notice angalia hapa .Ndiyo interpol wana share information sio siri any more ukiwa na na E-passport utajulikana ulienda wapi tarehe gani na status yako ya kukaa kwenye hiyo nchi.
Siasa ni mkakati na mkakati mmojawapo ni adui wa adui yako ni rafiki yako.Watanzania ni wajinga na wasahaulifu yaani ndani ya muda mfupi tu wameshamwona Polepole mtu wa maana
CCM wakiwindana na kuuana ni habari njema. Mpasuko ndani ya CCM ni muhimu sana
Polepole atafutwe auawe ili kinuke zaidi ndani ya CCM
Siasa ni mkakati na makakti mmojawapo ni adui wa adui yako ni rafiki yako.
Passport za kisasa za ePassport zina chip ambayo inaweza kuwa detected worldwideWewe kidampa, kwani nchi zinatuma taarifa kwa nchi nyingine kuhusu raia walioingia na passports zao?