Nimemuelewa Polepole kutotaja nchi aliyokimbilia uhamishoni na kudanganya yuko Tanzania

Nimemuelewa Polepole kutotaja nchi aliyokimbilia uhamishoni na kudanganya yuko Tanzania

Passport za kisasa za ePassport zina chip ambayo inaweza kuwa detected worldwide
Hakuna kitu kama hicho, hakuna nchi inayoruhusu nchi nyingine kupata taarifa za watu wanaoingia nchini kwake bila makubaliano, maombi na ruhusa maluumu.
 
Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na kutotaja nchi yenyewe kutokana na barua kali ya kujiuzulu na press kali ya kutolea ufafanuzi aliyoitoa hadharani. Japo vyote alivyovifanya kwa nchi nyingi za kidemokrasia ingechukuliwa jambo la kawaida tu ila sio kwa nchi aina ya bongo. Fikiria anavyosema wahuni walivyombeba dada yake mzobemzobe wakamtia pingu na kumtandika mabao kweli kweli, kama angekuwa ni Polepole mwenyewe ingekuaje!

Inawezekana Polepole angetaja nchi aliyopo kwa sasa wangeiomba hiyo serikali imu extradite (imrudishe bongo kama mhalifu aliyekimbia) kwa kosa la uhaini kwa hiyo kwa busara ikibidi aseme yuko bongo tu.

Hukumsikia alisema Yuko Tanzania?
 
Passport za kisasa za ePassport zina chip ambayo inaweza kuwa detected worldwide
Hao watu hili hawalijui kabisa, hiyo passport ikichanjwa tu kwenye mitandao ya kimataifa unajulikana popote kwamba umeenda nchi fulani.
 
Back
Top Bottom