Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Ukiona MTU anajidili mada za dini ujue hamna Kazi.Mkuu wewe unajadili mada gani unao elewa zaidi kama hukui maana ya E-passport mkuu?
Ukiona MTU anajidili mada za dini ujue hamna Kazi.Mkuu wewe unajadili mada gani unao elewa zaidi kama hukui maana ya E-passport mkuu?
Nani alikufundisha huo ujinga au sijui ni ushamba??Ndiyo interpol wana share information sio siri any more ukiwa na na E-passport utajulikana ulienda wapi tarehe gani na status yako ya kukaa kwenye hiyo nchi.
Mkuu, kuwa ukimbizini Marekani katika kipindi cha Trump ni risk kubwa sana, muda wowote unaweza kutupiwa kwenye ndege kurudishwa kwenu.Kuna habari kuwa Polepole yupo Florida, US. Kama ni kweli, US haina kesi ya kumfanyia extradition.
Kulikuwa na tetesi kwamba kaomba ukimbizi Sweden, lakini watu wa serikali ya Sweden wamesema hawajapata maombi rasmi ya ukimbizi.
Wewe umeolewa? mwanaume haolewi labda awe shoga? Sijui wewe uko kwenye jinsia ipi mkuu?Je pole pole hawezi kuwa ameolewa ?
Yoda kidampa ni nini?Wewe kidampa, kwani nchi zinatuma taarifa kwa nchi nyingine kuhusu raia walioingia na passports zao?
Mbona hi mada sio ya Dini mkuu, kulikoni dishi limeumba au? Kila jambo lina wakati wake.Ukiona MTU anajidili mada za dini ujue hamna Kazi.
+1 USAAlichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na kutotaja nchi yenyewe kutokana na barua kali ya kujiuzulu na press kali ya kutolea ufafanuzi aliyoitoa hadharani. Japo vyote alivyovifanya kwa nchi nyingi za kidemokrasia ingechukuliwa jambo la kawaida tu ila sio kwa nchi aina ya bongo. Fikiria anavyosema wahuni walivyombeba dada yake mzobemzobe wakamtia pingu na kumtandika mabao kweli kweli, kama angekuwa ni Polepole mwenyewe ingekuaje!
Inawezekana Polepole angetaja nchi aliyopo kwa sasa wangeiomba hiyo serikali imu extradite (imrudishe bongo kama mhalifu aliyekimbia) kwa kosa la uhaini kwa hiyo kwa busara ikibidi aseme yuko bongo tu.
Unajua maana ya uhaini?Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na kutotaja nchi yenyewe kutokana na barua kali ya kujiuzulu na press kali ya kutolea ufafanuzi aliyoitoa hadharani. Japo vyote alivyovifanya kwa nchi nyingi za kidemokrasia ingechukuliwa jambo la kawaida tu ila sio kwa nchi aina ya bongo. Fikiria anavyosema wahuni walivyombeba dada yake mzobemzobe wakamtia pingu na kumtandika mabao kweli kweli, kama angekuwa ni Polepole mwenyewe ingekuaje!
Inawezekana Polepole angetaja nchi aliyopo kwa sasa wangeiomba hiyo serikali imu extradite (imrudishe bongo kama mhalifu aliyekimbia) kwa kosa la uhaini kwa hiyo kwa busara ikibidi aseme yuko bongo tu.
Endelea kusubiri!Haya mashambulizi yakiendelea kidogo tu, kutapambazuka na nuru ya jua itaonekana kwa mara ta kwanza nchini.
Interpol hawashughulikii immigration brother au sister, wanashughulikia uhalifu, Polex2 siyo muhalifuNdiyo interpol wana share information sio siri any more ukiwa na na E-passport utajulikana ulienda wapi tarehe gani na status yako ya kukaa kwenye hiyo nchi.
Mkuu wana access information zote ya wanao ingia na kutoka nchi, kwa ajili ya usalama wa nchi.Interpol hawashughulikii immigration brother au sister, wanashughulikia uhalifu, Polex2 siyo muhalifu
Na anayewafatilia wanaojadili dini?Ukiona MTU anajidili mada za dini ujue hamna Kazi.
Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na kutotaja nchi yenyewe kutokana na barua kali ya kujiuzulu na press kali ya kutolea ufafanuzi aliyoitoa hadharani. Japo vyote alivyovifanya kwa nchi nyingi za kidemokrasia ingechukuliwa jambo la kawaida tu ila sio kwa nchi aina ya bongo. Fikiria anavyosema wahuni walivyombeba dada yake mzobemzobe wakamtia pingu na kumtandika mabao kweli kweli, kama angekuwa ni Polepole mwenyewe ingekuaje!
Inawezekana Polepole angetaja nchi aliyopo kwa sasa wangeiomba hiyo serikali imu extradite (imrudishe bongo kama mhalifu aliyekimbia) kwa kosa la uhaini kwa hiyo kwa busara ikibidi aseme yuko bongo tu.
Ukimbizi ni status. Mtu kuwa Marekani tu si kuwa mkimbizi. Pia, Florida US is a plausible choice as it is a mere 100 miles from Cuba and Cuba is overly friendly to Tanzania.Mkuu, kuwa ukimbizini Marekani katika kipindi cha Trump ni risk kubwa sana, muda wowote unaweza kutupiwa kwenye ndege kurudishwa kwenu.
nikitumia jina jingine na hata mwonekano ,inakaaje hiiNdiyo interpol wana share information sio siri any more ukiwa na na E-passport utajulikana ulienda wapi tarehe gani na status yako ya kukaa kwenye hiyo nchi.
huu mjadala ni wa watu wazima na akili zao sio size ya Mtoto wa ShuleHivi kwa dunia ya leo unaweza kuficha uko nchi gani? Au dogo huna uelewa na mambo unayoyazungumzia?
Passport katumia ya nchi gani kwenda huko alikokwenda? Ahahahahaha!!