Nimemuelewa Polepole kutotaja nchi aliyokimbilia uhamishoni na kudanganya yuko Tanzania

Ndiyo interpol wana share information sio siri any more ukiwa na na E-passport utajulikana ulienda wapi tarehe gani na status yako ya kukaa kwenye hiyo nchi.
Nani alikufundisha huo ujinga au sijui ni ushamba??
Hakuna taifa linalosambaza taarifa za wasafiri wanaingia nchini kwake kwa nchi nyingine.
 
Kuna habari kuwa Polepole yupo Florida, US. Kama ni kweli, US haina kesi ya kumfanyia extradition.

Kulikuwa na tetesi kwamba kaomba ukimbizi Sweden, lakini watu wa serikali ya Sweden wamesema hawajapata maombi rasmi ya ukimbizi.
Mkuu, kuwa ukimbizini Marekani katika kipindi cha Trump ni risk kubwa sana, muda wowote unaweza kutupiwa kwenye ndege kurudishwa kwenu.
 
+1 USA
305 Florida.

Just opposite to Havana.
 
Unajua maana ya uhaini?
 
Wa kuu wa polisi wakiwa wanafanya press release macho yao yanakuwa utadhani mtu aloyeulizwa na mkewe "ulikuwa wapi hadi saa tisa hii na Skola ni nani yako" 😂😂😂
 


Yuko dar, kigamboni

Jana amevuka pale feri na amesalimiana na watu
 
Mkuu, kuwa ukimbizini Marekani katika kipindi cha Trump ni risk kubwa sana, muda wowote unaweza kutupiwa kwenye ndege kurudishwa kwenu.
Ukimbizi ni status. Mtu kuwa Marekani tu si kuwa mkimbizi. Pia, Florida US is a plausible choice as it is a mere 100 miles from Cuba and Cuba is overly friendly to Tanzania.

Pia, kama yuko US haimaanishi atakaa US inawezekana anapita tu. Hence the Sweden rumors.

But I get your point.
 
Ndiyo interpol wana share information sio siri any more ukiwa na na E-passport utajulikana ulienda wapi tarehe gani na status yako ya kukaa kwenye hiyo nchi.
nikitumia jina jingine na hata mwonekano ,inakaaje hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…