Nimemuona kipendacho roho JF

Nimemuona kipendacho roho JF

Achana na huyo rafiki angu ni ka bazazi kanachoanza kuzoea jf kwa kutongoza tongoza

[emoji4] [emoji4]

Moja ya vitu vilinichelewesha kujiunga JF ni hizi fujo, nakumbuka back then nikiingia kama guest almost every day nilikuwa naona ugomvi, mikasa ya mapenzi, etc etc.

Sasa hivi nimejiunga nilitamani niwe nasoma tu nyuzi bila kucoment chochote nimeshindwa, ila nimependa jinsi Inna unavyomshauri mwenzako.

You impress.
 
Hahahaaa asante but apa jokes tu
 
Ukishakua kichaa utoe taarifa tuje tukupeleke makumbusho
 
Back
Top Bottom