balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Faiza FoxyKatika tembea yangu kwenye majukwaa mengi Jf, moyo wangu umempenda mdada mrembo asili yake ni Tanga, lakini kwasasa hayupo Tanga.
yupo active sana kwenye kila Uzi hasa Jukwaa hili nazani ushejijua.
Moyo wangu unateseka Juu yako hasa nikitizama Picha yako. Unaonekana ni mdada unaejieshimu, hijabu haikutoki kichwani, nywele zako hutaki zionekane, nakupenda sana..........hasa nikilitizama tabasamu lako nazidi kuzuzuka.
Plz naelekea kuwa kichaa mwenzako juu yako....