Nimemuona kipendacho roho JF

Nimemuona kipendacho roho JF

Katika tembea yangu kwenye majukwaa mengi Jf, moyo wangu umempenda mdada mrembo asili yake ni Tanga, lakini kwasasa hayupo Tanga.


yupo active sana kwenye kila Uzi hasa Jukwaa hili nazani ushejijua.


Moyo wangu unateseka Juu yako hasa nikitizama Picha yako. Unaonekana ni mdada unaejieshimu, hijabu haikutoki kichwani, nywele zako hutaki zionekane, nakupenda sana..........hasa nikilitizama tabasamu lako nazidi kuzuzuka.

Plz naelekea kuwa kichaa mwenzako juu yako....
Faiza Foxy
 
Back
Top Bottom