NIMEMUONA MUNGU MUUMBAJI (ELOHIM) KUPITIA PAKA WANGU

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ni yeye, umejificha Xmas ss hivi ndo umejitokeza kutuchora.!!
Basi nilikua nakuona ila hata sijahisi ni yeye.Kwani lile gauni la siku zote limechomwa au
 
Lets hope paka atarudi.
Ila ujue mbwa ni wanyama loyal sana kwa masta wao hao wako wamenishangaza
Nimeshangaa Kama wewe Sasa usiku nikirejea napita kwa mbali alafu nanyata nikiogopa kung'atwa na miongoni mwa ninaowaogopa na wanangu wamo ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Inauma Sana Ila Sina Imani na jirani nahisi Kuna namna sio bure
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Kanichekesha mbwa wake wanambwekea ๐Ÿคฃ
Itakuwa kuna kitu kafanya mbwa hawajapenda.! Hivyo viumbe vinaona hata vya sirini
Labda au hayana tu shukrani ๐Ÿ˜€
 
Paka dume malaya sana relax atarudi mwenyewe
Sasa arudi maana nimechoka kila usiku nikisikia sauti za mapaka shume natoka nduki kwenda kuangalia labda atakuwa yeye nimuite Ila nakuta ni mipaka shume naishia kujifyonza nakwenda kulala huku moyo unaumia Sana
 
Nimeshangaa Kama wewe Sasa usiku nikirejea napita kwa mbali alafu nanyata nikiogopa kung'atwa na miongoni mwa ninaowaogopa na wanangu wamo ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Inauma Sana Ila Sina Imani na jirani nahisi Kuna namna sio bure
Duuh,
Au ulikua una wa abuse mkuu
 
Basi nilikua nakuona ila hata sijahisi ni yeye.Kwani lile gauni la siku zote limechomwa au
Da mkubwa anajua mbona, ile ipo sema nilijisikia tu kuitumia hii.!! ๐Ÿ˜ƒ

Hii nilifunguaga kipindi nna ban inajulikana mbona.!!
Mzee wa BUCCI vipi hajambo?? ๐Ÿ˜น
Mwambie kuna new stock brand km zote ashindwe yeye ๐Ÿคฃ
 
Labda au hayana tu shukrani ๐Ÿ˜€
Mbwa sio rahisi itakuwa kuna jambo tu.!
Yeye aseme tumsaidie, ujue mbwa hata ukibadilisha mpz wanachukia, wanaona unawaletea harufu mpya na huyo mpz km ana mambo meusi ndo kabisa kinawaka ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Da mkubwa anajua mbona, ile ipo sema nilijisikia tu kuitumia hii.!! ๐Ÿ˜ƒ

Hii nilifunguaga kipindi nna ban inajulikana mbona.!!
Mzee wa BUCCI vipi hajambo?? ๐Ÿ˜น
Mwambie kuna new stock brand km zote ashindwe yeye ๐Ÿคฃ
Basi mi nimezubaa sana leo ulivyoita Da Pri ndo nikashtukia.
Bucci boy nahisi hayuko town nina muda sijamuona
 
Duuh mkuu its just a pet.
Usifikie kuugua plz
Ni ngumu dada kujua kuwa Kuna nyakati nilipitia ngumu Sana Ila Hawa akina Zuu ,Zack na Zeck walikuwa na Mimi muda wote ,kwangu walipaona ni kwetu .
Nilichokula walikula na Mimi ,nilipochelewa kazini au bar basi lazima ningewakuta kwenye njia za kurejea kwangu wakinisiburi au wangebweka mtaa mzima na paka angepiga kelele mpaka nirejee nyumbani mpaka ilifika muda watu wanahisi ni watu so wanyama .

Popote mlipo Zuu ,Zack na Zeck najua kusoma hamjui Ila sauti na nafsi yangu vinawasiliana embu rudini nyumbani tuishi Kama zamani ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
Sasa arudi maana nimechoka kila usiku nikisikia sauti za mapaka shume natoka nduki kwenda kuangalia labda atakuwa yeye nimuite Ila nakuta ni mipaka shume naishia kujifyonza nakwenda kulala huku moyo unaumia Sana
Paka kaamua wako kakua kaamua kutoka maghetoni akajitafutie ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Subiri dunia imfundishe mwenyewe ataumiss ugali wa home atarudi ๐Ÿคฃ
 
Mbwa sio rahisi itakuwa kuna jambo tu.!
Yeye aseme tumsaidie, ujue mbwa hata ukibadilisha mpz wanachukia, wanaona unawaletea harufu mpya na huyo mpz km ana mambo meusi ndo kabisa kinawaka ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Kabisa.
Maana mbwa wako loyal
 
Basi mi nimezubaa sana leo ulivyoita Da Pri ndo nikashtukia.
Bucci boy nahisi hayuko town nina muda sijamuona
Bucci boy nikimkumbuka nacheka sana ๐Ÿ˜น
Mzee wa mikato ya kwendea..!!
Hii Xmas itakuwa kawaka sana.
 
Duuh,
Au ulikua una wa abuse mkuu
Ka mbwa Koko kamoja ndiko nilijaribu kukafuga ,na ushauri wa wataalamu wa wanyama wa hapa walisema niwe nakapiga viboko na kukaharass ili kawe kakali Sana Ila hako kalikimbia siku nyingi maana mazoezi hayo yalikashinda .

Ila Hawa ninaowasema ni mbwa walionunuliwa na ukali wao na pia walinipenda Ila jirani kaamua kunitenda
 
Pole sana kakake.

Paragraph ya mwisho acha nimuachie mdogo wangu wa dhahabu Labella
 
Bucci boy nikimkumbuka nacheka sana ๐Ÿ˜น
Mzee wa mikato ya kwendea..!!
Hii Xmas itakuwa kawaka sana.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Nahisi kaenda bush kwao ,
Hapo begi litakua limejaa yale mambo yetu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hnger
Huna Akili, sababu Qur'an huijui alafu unaihukum sehemu moja na hiyo Bible yako
 
Pole sana kakake.

Paragraph ya mwisho acha nimuachie mdogo wangu wa dhahabu Labella
Upendo kwa wanyama unakuwaga wa kweli na waelewa sana.!!

Nakijua anachopitia aanze kuwapa upendo mpya na km ana kitu kafanya aache.!
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Nahisi kaenda bush kwao ,
Hapo begi litakua limejaa yale mambo yetu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Brand zitakuwa za kutosha, ni mwendo wa kuzinyuka.. Bush watamkoma mbona.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ