NIMEMUONA MUNGU MUUMBAJI (ELOHIM) KUPITIA PAKA WANGU

NIMEMUONA MUNGU MUUMBAJI (ELOHIM) KUPITIA PAKA WANGU

😹😹😹 Ni yeye, umejificha Xmas ss hivi ndo umejitokeza kutuchora.!!
Basi nilikua nakuona ila hata sijahisi ni yeye.Kwani lile gauni la siku zote limechomwa au
 
Lets hope paka atarudi.
Ila ujue mbwa ni wanyama loyal sana kwa masta wao hao wako wamenishangaza
Nimeshangaa Kama wewe Sasa usiku nikirejea napita kwa mbali alafu nanyata nikiogopa kung'atwa na miongoni mwa ninaowaogopa na wanangu wamo 😭😭

Inauma Sana Ila Sina Imani na jirani nahisi Kuna namna sio bure
 
😹😹😹
Kanichekesha mbwa wake wanambwekea 🤣
Itakuwa kuna kitu kafanya mbwa hawajapenda.! Hivyo viumbe vinaona hata vya sirini
Labda au hayana tu shukrani 😀
 
Paka dume malaya sana relax atarudi mwenyewe
Sasa arudi maana nimechoka kila usiku nikisikia sauti za mapaka shume natoka nduki kwenda kuangalia labda atakuwa yeye nimuite Ila nakuta ni mipaka shume naishia kujifyonza nakwenda kulala huku moyo unaumia Sana
 
Nimeshangaa Kama wewe Sasa usiku nikirejea napita kwa mbali alafu nanyata nikiogopa kung'atwa na miongoni mwa ninaowaogopa na wanangu wamo 😭😭

Inauma Sana Ila Sina Imani na jirani nahisi Kuna namna sio bure
Duuh,
Au ulikua una wa abuse mkuu
 
Basi nilikua nakuona ila hata sijahisi ni yeye.Kwani lile gauni la siku zote limechomwa au
Da mkubwa anajua mbona, ile ipo sema nilijisikia tu kuitumia hii.!! 😃

Hii nilifunguaga kipindi nna ban inajulikana mbona.!!
Mzee wa BUCCI vipi hajambo?? 😹
Mwambie kuna new stock brand km zote ashindwe yeye 🤣
 
Labda au hayana tu shukrani 😀
Mbwa sio rahisi itakuwa kuna jambo tu.!
Yeye aseme tumsaidie, ujue mbwa hata ukibadilisha mpz wanachukia, wanaona unawaletea harufu mpya na huyo mpz km ana mambo meusi ndo kabisa kinawaka 😹😹
 
Da mkubwa anajua mbona, ile ipo sema nilijisikia tu kuitumia hii.!! 😃

Hii nilifunguaga kipindi nna ban inajulikana mbona.!!
Mzee wa BUCCI vipi hajambo?? 😹
Mwambie kuna new stock brand km zote ashindwe yeye 🤣
Basi mi nimezubaa sana leo ulivyoita Da Pri ndo nikashtukia.
Bucci boy nahisi hayuko town nina muda sijamuona
 
Duuh mkuu its just a pet.
Usifikie kuugua plz
Ni ngumu dada kujua kuwa Kuna nyakati nilipitia ngumu Sana Ila Hawa akina Zuu ,Zack na Zeck walikuwa na Mimi muda wote ,kwangu walipaona ni kwetu .
Nilichokula walikula na Mimi ,nilipochelewa kazini au bar basi lazima ningewakuta kwenye njia za kurejea kwangu wakinisiburi au wangebweka mtaa mzima na paka angepiga kelele mpaka nirejee nyumbani mpaka ilifika muda watu wanahisi ni watu so wanyama .

Popote mlipo Zuu ,Zack na Zeck najua kusoma hamjui Ila sauti na nafsi yangu vinawasiliana embu rudini nyumbani tuishi Kama zamani 😭😭
 
Sasa arudi maana nimechoka kila usiku nikisikia sauti za mapaka shume natoka nduki kwenda kuangalia labda atakuwa yeye nimuite Ila nakuta ni mipaka shume naishia kujifyonza nakwenda kulala huku moyo unaumia Sana
Paka kaamua wako kakua kaamua kutoka maghetoni akajitafutie 😹😹

Subiri dunia imfundishe mwenyewe ataumiss ugali wa home atarudi 🤣
 
Mbwa sio rahisi itakuwa kuna jambo tu.!
Yeye aseme tumsaidie, ujue mbwa hata ukibadilisha mpz wanachukia, wanaona unawaletea harufu mpya na huyo mpz km ana mambo meusi ndo kabisa kinawaka 😹😹
Kabisa.
Maana mbwa wako loyal
 
Basi mi nimezubaa sana leo ulivyoita Da Pri ndo nikashtukia.
Bucci boy nahisi hayuko town nina muda sijamuona
Bucci boy nikimkumbuka nacheka sana 😹
Mzee wa mikato ya kwendea..!!
Hii Xmas itakuwa kawaka sana.
 
Duuh,
Au ulikua una wa abuse mkuu
Ka mbwa Koko kamoja ndiko nilijaribu kukafuga ,na ushauri wa wataalamu wa wanyama wa hapa walisema niwe nakapiga viboko na kukaharass ili kawe kakali Sana Ila hako kalikimbia siku nyingi maana mazoezi hayo yalikashinda .

Ila Hawa ninaowasema ni mbwa walionunuliwa na ukali wao na pia walinipenda Ila jirani kaamua kunitenda
 
Ni ngumu dada kujua kuwa Kuna nyakati nilipitia ngumu Sana Ila Hawa akina Zuu ,Zack na Zeck walikuwa na Mimi muda wote ,kwangu walipaona ni kwetu .
Nilichokula walikula na Mimi ,nilipochelewa kazini au bar basi lazima ningewakuta kwenye njia za kurejea kwangu wakinisiburi au wangebweka mtaa mzima na paka angepiga kelele mpaka nirejee nyumbani mpaka ilifika muda watu wanahisi ni watu so wanyama .

Popote mlipo Zuu ,Zack na Zeck najua kusoma hamjui Ila sauti na nafsi yangu vinawasiliana embu rudini nyumbani tuishi Kama zamani 😭😭
Pole sana kakake.

Paragraph ya mwisho acha nimuachie mdogo wangu wa dhahabu Labella
 
Bucci boy nikimkumbuka nacheka sana 😹
Mzee wa mikato ya kwendea..!!
Hii Xmas itakuwa kawaka sana.
😀😀Nahisi kaenda bush kwao ,
Hapo begi litakua limejaa yale mambo yetu 😀😀
 
Hnger
Juzi nikiwa nimejilaza kibarazani ghafla nilimuona paka wangu akifanya kitu ambacho sijawahi kumuona akifanya kabla wala kumuona paka mwingine yeyote akifanya hivyo.Nilishangaa sana nikamchukua ka clip nikiamini paka wangu ana talent ya ajabu na niliamini watu watashangaa sana kuona paka akifanya hivyo.Ningekua mpumbavu ningemuogopa paka wangu nikihisi ni jini.

Hata hivyo,japo sikujua nitatumia neno gani ku google ila nikasema ngoja ni google nione kama kuna sehemu wameongelea hichi kitu alichofanya paka wangu.Baada ya kusearch kwa maneno tofauti tofauti nikaibukia youtube na nilishangaa kuona kumbe hiyo ni moja ya tabia/matendo ya paka na kwamba paka wangu sio wa ajabu wala hana kipaji bali amefanya alichofanya sababu yeye ni paka.

Nilitafakari vile ambavyo ni ajabu kuwa ukiwachukua paka wote wa dunia hii bila kufundishwa wala kuona popote wana vitu vinavyofanana watafanya kwa sababu wao ni paka.Nikawatafakari na wanyama wengine wengi na mwishowe nikaanza kujitafakari mimi.

Wakati najitafakari nikajiuliza hivi kuna mashine inayochakata mambo mengi magumu na kwa ufanisi kama mwili wangu?Nikamkumbuka jirani yangu ambae ana siku ya nne leo kapata stroke na moja ya mkono wake hauwezi chochote lkn wiki mbili zilizopita tulikua nae msibani mimi na yeye tukipika jungu moja la ubwabwa tukisaidiana kukoroga na kuchochea kuni kwa mikono yetu bila shida.
ikajiambia kwa namna huu mwili unafanya kazi NAKATAA NA NINAPINGA VIKALI kuwa tumetokea tu randomly.There is A MAKER.Huu mwili umetengeneza na kitu ambacho kina akili nyingi kupita upeo wetu unqvyoweza kufikiri.Kitu chenye ubunifu mkuu.

Hata hivyo,my MAKER sio yule wa kina Mwampopo na kiboko na wengine jumlisha kobazi..Kamwe sitakua Zombie,sitanunua udongo,sitakanyaga mafuta wala hakuna wa kuna sadaka yangu.

Pia bado naamini kuwa Biblia na Quran ni vitabu vya mchongo vilivyoandikwa na wajanja kwa ajili ya wajinga ila sorry pamoja na kujua kuwa nitakuchanganya au uhisi nimechanganyikiwa ila naomba nikuache na 😀

UFUNUO 4:11

“Wastahili ee Bwana na Mungu wetu, kupokea utukufu na heshima na nguvu. Maana wewe uliumba vitu vyote, na kwa matakwa yako viliumbwa na vipo.”

FELIZ AÑO NUEVO🍾🍾🙏🏼🙏🏼🥂🥃🥏🍸🍽💃🏼🤸🏿‍♂️
.
Huna Akili, sababu Qur'an huijui alafu unaihukum sehemu moja na hiyo Bible yako
 
Pole sana kakake.

Paragraph ya mwisho acha nimuachie mdogo wangu wa dhahabu Labella
Upendo kwa wanyama unakuwaga wa kweli na waelewa sana.!!

Nakijua anachopitia aanze kuwapa upendo mpya na km ana kitu kafanya aache.!
 
Back
Top Bottom