figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
unless muanzisha mada aseme ni mimi
basi hizo redio mbao tu...
but think about it....gx100 huipati bila milioni 12 na kuendelea
na still mtu anapondwa
si bora to stick na boda boda for godsake? lol
Lol! Haya bana, mie siko bongo hata hivyo, na nilipo hiyo jeep si kiviile status wise lolndo maana akamwambia jipange
so mushi we jipange tu lol
hajakutana na mushi bado sio? lol
Hapa mbona ni wengi? Kuna Lawrence fishburne, Denzel Washington, Justin Timberlake, Treyz Song (wawili), kina Malcolm X, ML King Jr, Kadafi etc. Sasa umaarufu wa avatar sio hint kubwa kiivo.hajakutana na mushi bado sio? lol
Mie naomba niku PM. Kwenye RV nitakuja na (at best) Bajaj but most likely kwa daladala. Ila nitajitahidi ku- finance drinks. Waonaje?
Si alishatoka na MTM
Afu na usupastaa
Bado tu?
Basi ajue albam haiuziki hiyo
Hebu nisaidieni jamani... Nimetoka na Mpoleee mimi??
Aisee kuikosa JF 2 days unaweza kuta mambo ya khatari haswaaa
Hii kweli ni 2012
mkuu walikupakazia jana eti ulitoka na mpole hahahaha!
si bora wewe una gx100, mimi hata bodaboda sina, sasa ningeenda na daladala sijui ingekuwaje. (wamekutania tu)
Hii kali ya Mwaka....
HAPPY NEW YEAR
Hebu nisaidieni jamani... Nimetoka na Mpoleee mimi??
Aisee kuikosa JF 2 days unaweza kuta mambo ya khatari haswaaa
Hii kweli ni 2012
shda sio baiskeli. sina shida na pesa ya mtu ninazo tayari shida una baisikeli waazima gari na kujifanya lako. liv ur lyf.
hilo nalo neno!!!Ulijuaje kama gari aliazima? Issue ni gari la kuazima au ghadhabu ya kunyonyolewa?
hilo nalo neno!!!
kaja na gx mia, mwenyewe amempaki mahali anakunywa bia, baadae jamaa anataka gari yake aende kwa manka aka gogo akale ndizi alizopikiwa na apate bia mbili alizowekewa kwenye fridge, anakuja kuchukua gari yake. Then jamaa wakati wa kwenda kunyonyoa anapanda jipu ya mtoto wa fisadi.
heeee.........waniitia kadamnasi ili iweje bibie.......wataka kunshika ukanchinje kama jogoo la skukuu au???Bishanga,
njoo umuone huyu hapa
heeee.........waniitia kadamnasi ili iweje bibie.......wataka kunshika ukanchinje kama jogoo la skukuu au???
ubarikiwe sana... hiyo ngozi ikaushe uwambe ngomaAma kweli anayekutwa na ngozi ndo mwizi
Hii habari nimeipata humuhumu ndani
Na watu walikuona umevaa miwani tinted, tena mbinuko
Ila gari ndo uliazima
ubarikiwe sana... hiyo ngozi ikaushe uwambe ngoma
Kumbe nimepitwa!!! Hadi Eliza wa Tegeta ndani ya nyumba..lol