Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,612
Pole dia, umesha pona?mhhh niko kwa lema huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole dia, umesha pona?mhhh niko kwa lema huku
😛op2:Unataka kuwa Martyina na wifi yake?
Nilifagia uwanja na niko tayari kuosha vyombo ila kwa kukuna nazi... mwache afanye yeye. lol
hehehehe, mi nimesema nitaosha vyombo bwana. lolMwali wewe mtata..
Unapenda kuna nazi wee
sitii neno
Pole dear,
lakini nenda hospitali.
Pole dia, umesha pona?
Hahaha! Kongosho ujue kunyonyolewa kavu kavu bila hata kuchemshiwa maji inauma ati.. Ukiona wanalalama ujue wanatoa maumivu..lol
Utapona tu. Kaa chit chat, ukichoka nenda jokes. Ukicheka utapata nafuu.bado mamie
nimeenda leo,na dawa kibao hapa maumivu palepale angalau nikija humu nafurahi
hehehehe, mi nimesema nitaosha vyombo bwana. lol
Utapona tu. Kaa chit chat, ukichoka nenda jokes. Ukicheka utapata nafuu.
Hivi wewe unaendesha gari gani? Ni lako au la kuazima?
Pole, nakuelewa.
Limousine gani hasa dia? mi sina gari, naendesha baisikeli tu (serious)mnanipa kampani kwa kweli!mimi nina limousine sasa hivi,lile hammer nishagawa
Gx50 ndo gx100 kipisi? Sasa utapandaje?
nakupenda sana my wii
mgonjwa unajiingiza kwenye anga za kongosho? shauri yako. atakuduu hapahapa lol.huogopi? Mia
mgonjwa unajiingiza kwenye anga za kongosho? shauri yako. atakuduu hapahapa lol.huogopi? Mia
ni wewe nini?
siyo mimi bana..