Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Najaribu kuwaza hapa kama mtoa mada angekuwa mwanaume.....
Hizi comments za ajengewe sanamu zingekuwepo??? ama ndo tungekutana na "Piga chini mkuu wanawake wapo kibao kwa nini uteseke" Kwamba uzinzi ni kwa wanawake; wanaume ni nature inawa-push sio[emoji12]

Kuchepuka hakuangalii jinsi ya mtu wala maumivu yake hayawi tofauti.... Tukubaliane kuwa ukishajua mwenza wako anachepuka hisia zinabadilika na stimu zinakata. Tunajipa moyo tu lakini ndani ya mioyo yetu tunaugulia maumivu. Simu sio za kuchunguza zina faida na hasara zake, hivyo ukiigusa jiandae kwa lolote.

Heaven Sent
Wameshajihalalishia wao nadhani na jamii imeshalikubali hili..But sio uungwana hata kidogo. Nadhani bila Mungu kutupa uvumilivu na hekima hatuwezi kitu na mapambano hayajawahi kuziacha familia salama..Usiku mwema wandugu
 
Ni kifo kuwa single mother? Mama zako wamejaa tele nyumbani hapo. Munanyanyasa wanawake wavumilie upumbavu wenu tu ili mtu aonekane mcumilivu wa ndoa[emoji23] pumbavu
Relaaax Miss 😄😄😄😄. Ngoja nitunze akiba ya maneno kwa sbb ni mara ya kwanza nafuma hivi labda naweza kugeuka siku moja kuwa na hasira kama zako
 
Relaaax Miss [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. Ngoja nitunze akiba ya maneno kwa sbb ni mara ya kwanza nafuma hivi labda naweza kugeuka siku moja kuwa na hasira kama zako
Hapana dia. Siwez kukwambia maneno kama hayo mwanamke mwenzangu. And am not a single mother. Its just that wanafanya kama vile ni offense kwa ushenz wao halaf watoto wakija watenga baadae wanalalamika hawahudumiwi wakati hapa he is busy offending single mothers. Mutaendelea kufa wapweke
 
Hahhaaa mimi ambaye najijua kabisa si wife material, nimejiamulia kukaa tu kimya. Ukisikia tu "wewe ndiyo umekomaa sasa", ujue these sons of Solomon are trying to legitimize some nonsense. Ukomae wewe nazi?
Najaribu kuwaza hapa kama mtoa mada angekuwa mwanaume.....
Hizi comments za ajengewe sanamu zingekuwepo??? ama ndo tungekutana na "Piga chini mkuu wanawake wapo kibao kwa nini uteseke" Kwamba uzinzi ni kwa wanawake; wanaume ni nature inawa-push sio[emoji12]

Kuchepuka hakuangalii jinsi ya mtu wala maumivu yake hayawi tofauti.... Tukubaliane kuwa ukishajua mwenza wako anachepuka hisia zinabadilika na stimu zinakata. Tunajipa moyo tu lakini ndani ya mioyo yetu tunaugulia maumivu. Simu sio za kuchunguza zina faida na hasara zake, hivyo ukiigusa jiandae kwa lolote.

Heaven Sent
 
Halooo, unamwonea huruma??
Ningekuwa mimi kwenye hiyo nafasi yako sijui ingekuwaje yaani. Vile ningeliamsha dudeee.
what for? i dont support kwenda je ya ndoa au kuchepuka ila vurugu za nini? unafikili kabla ya kukuoa alikuwa na wangapi, na wewe hata pengine sio mumeo ambae alikutoa bikira, but all in all hakuna haja ya vurugu, its both a sin before God and man, option ya mtu mume au mke kuchepuka ni moja pekee, DIVORCE period, mimi siku nikioa akichepuka divorce na mimi nitawambia nikichepuka anipe divorce, hakuna hata ya vita, vuugu matusi au nini, muachie huo ambae anachepuka nae awe mke wake au awe mume wake, period, i hope nimeeleweka
 
Sio vurugu tu nikiamua namtilia sumu afie usingizini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom