Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Hata kama.HufaI kutengenezewa sanamu, hufai kupewa ulinzi na wala hufai kupewa mitano tena...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama.HufaI kutengenezewa sanamu, hufai kupewa ulinzi na wala hufai kupewa mitano tena...
Kweli kabisa hali ni tete rafiki!Jamii yote imeharibika Best si ME si KE.
Nashangaa tena ukute watongozwa na wanaume viwango kuliko yeyeEti kweli mtu abadili ladha huko nje aje asuuze kwangu halafu nimwangalie tu[emoji23][emoji23].
Ungepata faida gani sasa?Halooo, unamwonea huruma??
Ningekuwa mimi kwenye hiyo nafasi yako sijui ingekuwaje yaani. Vile ningeliamsha dudeee.
Hafu wake waombaji ndio waume zao huwa viboro ndinda Sana, nyie ombeni tu kwa kweli wangu nilimwambia sina huo mda mchafu[emoji23][emoji23][emoji23] mimi nitamuombea ila siyo kwa uchungu eti abadilike hapana ila mipango ya mishe zetu ziende poa
Una mdogo au dada wa kike uniunganishe? Napenda jinsi ulivyo kuwa calm licha ya dhoruba.
Ni wanawake wachache wanaweza kukubali kuwa sisi ni wawindaji. We just go outside for fun....then our love is for our family.
Hahaaa mahusiano ni shida ndo Mana kujifanya una baby mmoja ni hatari kwa afya aisee. Bora kuwa mafiga matatuNa afanyiwe huko nje tu. Ila the sooner i realise hayo i quit. Sipendi mashindano ya moyo mimi.
Wanaume viwango wapoje?Nashangaa tena ukute watongozwa na wanaume viwango kuliko yeye
Si deal na mchepuko Friend. Ntadeal na husband kuna love na kuna kujimudu as long as ni first time ntadeal na mume. Asante kwa ushauriUnajipa matumaini kwasababu wewe ndio umeolewa lakini unagamble na maisha yako,kama hutoambukizwa ukimwi(naombe isiwe),utapoteza ndoa yako.Hiko ulichonacho huyo mchepuko ndio anakitaka"NDOA YAKO",haupo salama bidada amkaa...nakuhakikishia atafanya kila hila mpaka akipate,hapo anaeza ajibebeshe mimba makusudi and much worse,god forbid🤞
Unajaribu kutudhirishia kama upo sawa but i can rest assure you upo depressed.Kama unampenda mumeo hasa sio kawaida kuchukulia usaliti poa kama unavyofanya lazima imekuathiri!
Tatizo lipo kwa MUME wako ndio unatakiwa umuweke sawa si mchepuko deal na mumeo.Unajitahidi kumtetea kama ni mume mwema lakini ukweli ni kwamba as long as ametoka nje ya ndoa si mwema.Huruma yako itakuponza!
Ama la wewe ni aina ya mwanamke ambae unaona huwezi jimudu mwenyewe unamtegemea mumeo ndio maana unaona uvumilie tu lakini mwanamke anayejielewa hatovumuilia upuuzi huu.
Unaoneka umepevuka sana.Hongera utafika mbali kwenye ndoa yako shemeji yangu.Visasi wachie wengine,Endelea kumuombea pia,wakati mwingine yeye mwenyewe hapendi ila huyo mwanamke ametumia nguvu za giza kumteka mumeo.Haya yanatokea sana sana.Sasa Fanya jambo la Kiroho (Kama una amini) la kumsaidia kumtoa huko Mumeo baba wa watoto wako kabla hajaharibiwa kabisa.Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".
Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana nikimuangalia mume wangu.
He is so good kwetu mimi na watoto yani hakuna kitu tuombe asitimize. Ila huruma imenijia kwa sbb ana majukumu mazito mbele yake kwa sasa na huyu mchepuko hajui anawaza hela ya biashara.
Na kuhusu kumwambia nimepanga nimwambie yeye aendelee na mambo yake hela ni zake bwana ila chonde chonde asiniletee magonjwa as kwangu mimi nimetulia na najiamini kwa asilimia 100.
Na kupambana eti na mchepuko sijui kupambana na mume siwezi kisasi ni cha Mungu. Halafu kwa nature ya wanaume walivyo ntagombana na wangapi. Au mnasemaje wadau?
Mie ninamuonea sana huruma maskini unakuta anawaza familia kumbe kuna ka mchepuko kanampa stress tena naogopa kasije kakamroga akatusahau, Nifanyeje?
Good luck dear 🥰Si deal na mchepuko Friend. Ntadeal na husband kuna love na kuna kujimudu as long as ni first time ntadeal na mume. Asante kwa ushauri
Ndicho hicho naona kinafaa zaidi maombi my dia. Asante kwa ushauriUnaoneka umepevuka sana.Hongera utafika mbali kwenye ndoa yako shemeji yangu.Visasi wachie wengine,Endelea kumuombea pia,wakati mwingine yeye mwenyewe hapendi ila huyo mwanamke ametumia nguvu za giza kumteka mumeo.Haya yanatokea sana sana.Sasa Fanya jambo la Kiroho (Kama una amini) la kumsaidia kumtoa huko Mumeo baba wa watoto wako kabla hajaharibiwa kabisa.
Mume sorry, it's ok! Ndio maana wengi wenu mnaishia kuwa single mother!Mum ama mume?
Na kwanini upate maumivu kwa ndoa isiyokuhusu? Na amekuambia anaumia? Kaa kwa kutulia mkuu. Mnapenda sana kuendekeza ujinga in the name of utiifu sijui unyenyekevu kwa mzinzi? Kaa kwa kutulia
Yeye angenikamata kwenye hali hiyo angekaa kimya kwa sababu hamna faida?Ungepata faida gani sasa?
Mbona nyie mwathwmini wanawake wengine. Hayo maneno ya Babu yako yalikuwa ya kaleWanaume viwango wapoje?
Babu yangu aliniambua kuwa kitendo cha mwanamke kuthamini mwanaume mwemingine ambaye siyo mume wake na Kuwaita wa viwango ni tabia za u.malaya. I don't know if he is right or wrong.