miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Ni kifo kuwa single mother? Mama zako wamejaa tele nyumbani hapo. Munanyanyasa wanawake wavumilie upumbavu wenu tu ili mtu aonekane mcumilivu wa ndoa[emoji23] pumbavuMume sorry, it's ok! Ndio maana wengi wenu mnaishia kuwa single mother!
Wameshajihalalishia wao nadhani na jamii imeshalikubali hili..But sio uungwana hata kidogo. Nadhani bila Mungu kutupa uvumilivu na hekima hatuwezi kitu na mapambano hayajawahi kuziacha familia salama..Usiku mwema wanduguNajaribu kuwaza hapa kama mtoa mada angekuwa mwanaume.....
Hizi comments za ajengewe sanamu zingekuwepo??? ama ndo tungekutana na "Piga chini mkuu wanawake wapo kibao kwa nini uteseke" Kwamba uzinzi ni kwa wanawake; wanaume ni nature inawa-push sio[emoji12]
Kuchepuka hakuangalii jinsi ya mtu wala maumivu yake hayawi tofauti.... Tukubaliane kuwa ukishajua mwenza wako anachepuka hisia zinabadilika na stimu zinakata. Tunajipa moyo tu lakini ndani ya mioyo yetu tunaugulia maumivu. Simu sio za kuchunguza zina faida na hasara zake, hivyo ukiigusa jiandae kwa lolote.
Heaven Sent
Relaaax Miss 😄😄😄😄. Ngoja nitunze akiba ya maneno kwa sbb ni mara ya kwanza nafuma hivi labda naweza kugeuka siku moja kuwa na hasira kama zakoNi kifo kuwa single mother? Mama zako wamejaa tele nyumbani hapo. Munanyanyasa wanawake wavumilie upumbavu wenu tu ili mtu aonekane mcumilivu wa ndoa[emoji23] pumbavu
Ok!Ni kifo kuwa single mother? Mama zako wamejaa tele nyumbani hapo. Munanyanyasa wanawake wavumilie upumbavu wenu tu ili mtu aonekane mcumilivu wa ndoa[emoji23] pumbavu
Hapana dia. Siwez kukwambia maneno kama hayo mwanamke mwenzangu. And am not a single mother. Its just that wanafanya kama vile ni offense kwa ushenz wao halaf watoto wakija watenga baadae wanalalamika hawahudumiwi wakati hapa he is busy offending single mothers. Mutaendelea kufa wapwekeRelaaax Miss [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. Ngoja nitunze akiba ya maneno kwa sbb ni mara ya kwanza nafuma hivi labda naweza kugeuka siku moja kuwa na hasira kama zako
Naja mbio mbioNjoo tuyajenge kwa mapana
Najaribu kuwaza hapa kama mtoa mada angekuwa mwanaume.....
Hizi comments za ajengewe sanamu zingekuwepo??? ama ndo tungekutana na "Piga chini mkuu wanawake wapo kibao kwa nini uteseke" Kwamba uzinzi ni kwa wanawake; wanaume ni nature inawa-push sio[emoji12]
Kuchepuka hakuangalii jinsi ya mtu wala maumivu yake hayawi tofauti.... Tukubaliane kuwa ukishajua mwenza wako anachepuka hisia zinabadilika na stimu zinakata. Tunajipa moyo tu lakini ndani ya mioyo yetu tunaugulia maumivu. Simu sio za kuchunguza zina faida na hasara zake, hivyo ukiigusa jiandae kwa lolote.
Heaven Sent
Ni kifo kuwa single mother? Mama zako wamejaa tele nyumbani hapo. Munanyanyasa wanawake wavumilie upumbavu wenu tu ili mtu aonekane mcumilivu wa ndoa[emoji23] pumbavu
Ilo dude la kuamsha unalitoa wapi wakati we wakike?Halooo, unamwonea huruma??
Ningekuwa mimi kwenye hiyo nafasi yako sijui ingekuwaje yaani. Vile ningeliamsha dudeee.
Uliamshe halafu una ubavu wa kulituliza?Halooo, unamwonea huruma??
Ningekuwa mimi kwenye hiyo nafasi yako sijui ingekuwaje yaani. Vile ningeliamsha dudeee.
Hata kama.
Hutaenda mbinguniHata kama.
Angeweka kanamba tuweke chochote kitu kwa kweliSanamu lako lijengwe juu kwenye daraja la Mfugale haraka sana.
Nitatoa nondo mbili
Ila sema kuwa anakukoleza unaridhika ndio mama unatulia tuKabisa kabisa ndo maana siwazi kuchepuka na mm coz ni kuzidisha matatizo
Ninalo.Ilo dude la kuamsha unalitoa wapi wakati we wakike?
Halitulii likiamka ni moja kwa moja.Uliamshe halafu una ubavu wa kulituliza?
what for? i dont support kwenda je ya ndoa au kuchepuka ila vurugu za nini? unafikili kabla ya kukuoa alikuwa na wangapi, na wewe hata pengine sio mumeo ambae alikutoa bikira, but all in all hakuna haja ya vurugu, its both a sin before God and man, option ya mtu mume au mke kuchepuka ni moja pekee, DIVORCE period, mimi siku nikioa akichepuka divorce na mimi nitawambia nikichepuka anipe divorce, hakuna hata ya vita, vuugu matusi au nini, muachie huo ambae anachepuka nae awe mke wake au awe mume wake, period, i hope nimeelewekaHalooo, unamwonea huruma??
Ningekuwa mimi kwenye hiyo nafasi yako sijui ingekuwaje yaani. Vile ningeliamsha dudeee.
Na tukikutana kuzimu usinisemeshe.Hutaenda mbinguni
Sio vurugu tu nikiamua namtilia sumu afie usingizini.what for? i dont support kwenda je ya ndoa au kuchepuka ila vurugu za nini? unafikili kabla ya kukuoa alikuwa na wangapi, na wewe hata pengine sio mumeo ambae alikutoa bikira, but all in all hakuna haja ya vurugu, its both a sin before God and man, option ya mtu mume au mke kuchepuka ni moja pekee, DIVORCE period, mimi siku nikioa akichepuka divorce na mimi nitawambia nikichepuka anipe divorce, hakuna hata ya vita, vuugu matusi au nini, muachie huo ambae anachepuka nae awe mke wake au awe mume wake, period, i hope nimeeleweka