Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Me niliwahi haki simu ya mke wangu baada ya kuona mabadiliko ghafla nikakuta anachati sana na wanaume nikamuliza akaleta jeuri nikapasua simu yake nikavunja laini nikamfukuzia kwao tangu mwaka 2018 na sijamrudisha mpaka sasa na nina mtoto nae mmoja wa miaka 5. Saivi nakula maisha tu hapa
 
Heshima yako kwake ndiyo imefanya mchepuko kupewa jibu hilo. Halafu mumeo mpole na mstaarabu sana asiyetaka kumkwaza mtu hata kama anajua jibu ni NO.

Kifupi hayupo tayari kugharamia sana mchepuko huo, ila hataki kutoka kappa. Huenda huyo mwanamke ndiye aliamza kulegeza masharti kabla mumeo hajatest vocal kama zina sumu.
 
Nikuulize kwanini unachepuka? Kwamba kuna sababu imesababisha uchepuke? Wewe haunijui vizuri.
Si nachepuka ili nipate uzoefu zaidi ili nikufadishe mke wangu shida nini hapo..?
Halafu ndio tumeambiwa tuoe mke mmoja lakini Mimi ni nani Kama bwana wa mbinguni ataniletea wanne! Siwezi kupinga amri ya alie mbinguni nitapinga ya hapa duniani tu..😁😜
 
Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".

Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana nikimuangalia mume wangu.
He is so good kwetu mimi na watoto yani hakuna kitu tuombe asitimize. Ila huruma imenijia kwa sbb ana majukumu mazito mbele yake kwa sasa na huyu mchepuko hajui anawaza hela ya biashara.

Na kuhusu kumwambia nimepanga nimwambie yeye aendelee na mambo yake hela ni zake bwana ila chonde chonde asiniletee magonjwa as kwangu mimi nimetulia na najiamini kwa asilimia 100.

Na kupambana eti na mchepuko sijui kupambana na mume siwezi kisasi ni cha Mungu. Halafu kwa nature ya wanaume walivyo ntagombana na wangapi. Au mnasemaje wadau? Mie ninamuonea sana huruma maskini unakuta anawaza familia kumbe kuna ka mchepuko kanampa stress tena naogopa kasije kakamroga akatusahau, Nifanyeje?
Naomba nimuoe.mdogo wako kama unae..may b akawa na Gens kama zako..sipend wanawake wenye midomo kama chiriku
 
Si nachepuka ili nipate uzoefu zaidi ili nikufadishe mke wangu shida nini hapo..?
Halafu ndio tumeambiwa tuoe mke mmoja lakini Mimi ni nani Kama bwana wa mbinguni ataniletea wanne! Siwezi kupinga amri ya alie mbinguni nitapinga ya hapa duniani tu..[emoji16][emoji12]
Sawa, ila sitoacha jambo lipite.
Wewe unadhani mimi huko sitongozwi na tuvijana vi-handsome? Na mimi nitakuletea uzoefu.
 
Heshima yako kwake ndiyo imefanya mchepuko kupewa jibu hilo. Halafu mumeo mpole na mstaarabu sana asiyetaka kumkwaza mtu hata kama anajua jibu ni NO.
Kifupi hayupo tayari kugharamia sana mchepuko huo, ila hataki kutoka kappa. Huenda huyo mwanamke ndiye aliamza kulegeza masharti kabla mumeo hajatest vocal kama zina sumu.
Kama unamjua vile. Ni mpole na mataratibu namuonea huruma maana maybe anaendeshwa huko kama gari bovu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom