Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Hahahah mzee wako hapokei mahari kabisa[emoji28] ndio maana una kiburi eeh!? Sema kuoa kwenu kwa sie watoto wa wakulima inakuwa ngumu maana mzee anaonekana atataka mbwembwe za kibepari zile
He is a very humbled man. Na yawezekana unampata kwa upande wa kanda hiyo. Anakuambia enzi hizo walikua wakitaka kuoa basi wanafatilia mji qa mwanamke ila siku hizi kibao kimebadilika wanaangalia kwa kijana muoaji maana vijana wamekua wapumbavu sana. Hapendi kuachana ila mambo yakizidi na sisi atatufata kwa gleda ila halijatokea[emoji23] nafurahi anavyowanyoosha vijana wake wa kiume. He is a super daddy. Hapendi ujinga wenu vijana. Kwahiyo usitegemee utanioa uje kuninyanyasa kisa unanihudumia. Sina njaa hizo ndugu yangu. Tuheshimiane tu
 
Woow.. great move. Let him know that u know it...
 
Hii ndoa itakuwa ina mikwaruzo tayari.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Well now you’re talking!

Wafundishe na wenzio kwamba a man ain’t a property to you but he just a patner! He autonomous so expect anything can happen, he might stay true to you and never cheat on you or he might do the opposite!

Tumetofautiana sana kuna wanaume walafi like they can’t stand a hot chick they will strive to get into her pants by any means.

To be frank i am one of those guys who just flirts around but never hit them other girls! A woman who dates me is 100% that a nigga won’t cheat and its always been that way! I just decided to be flirtin on purpose, just to cheer things up cause most girls like damn dramaz like you should be able to show her that you can make a move anytime just to boost your attractiveness level! Charming as always!
 
[emoji3][emoji3][emoji3] wewe usiolewe,, au oa wewe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Hehehe!!! Hamna kitu cha hovyo kama kupungukiwa nguvu za kiume, nakuambia hili kama mwanaume na limewahi kunitokea kipindi nilikua kazi yangu mipombe, yaani madini ya testerone yanapungua, unakua huna hamu ya mwanamke kabisa, iwe wako au wa huko nje, tena ukiingia bar unataka uwe mwenyewe, wanapita pita pita warembo wazuri unawaona tu huna hamu kabisa, ni maisha ya hovyo, nilipambana nayo yanakanitoka, nikaacha mapombe na kuanza zoezi na kula mbegu za maboga mpaka nikawa freshi kabisa full minguvu yote.

Ni kweli kuchepuka is choice, kila kitu kwenye maisha ni maamuzi, hamna chochote hujia mtu bila yake yeye kuamua na kukubali, na ndio maana nasema nilipambana dhidi ya vishawishi vyote vya kuchepuka, nikawa najizuia kwa kila mbinu, nakumbuka hata nilikua napiga punyeto ilmradi tu nisichepuke, kwamba wiki yote sjapewa na mke lhal nyege zinaniua halafu mademu ofisini na kote hawanipi amani, naamua kupiga nyeto presha zinanitoka naendelea na maisha, ila hatimaye nikashndwa uvumilivu na kufanya hayo maamuzi/choice ya kuchepuka.....tena kwa akili zangu mwenyewe.

Kuhusu wanawake, nyie mumeumbwa tofauti, kwa mwanamke kuchepuka eti umkomoe mumeo unajikomoa bure maana huko unakokwenda kutumiwa na hao wanaume ni hao hao tu akina sisi wanaume, mwsho wa siku wanawake huwa hamteswi na hisia za kingono kama sisi, na ndio maana ni vigumu umkute mwanamke anatongoza, labda hawa wa kisasa magubegube, lakini umkute demu anakuomba namba ya simu kisha akufuate fuate kukushawishi ulale naye, sio rahisi maana miili yenu haijaumbwa na huo moto, na ndivyo ilivyo kwa chochote cha jinsia ya kike, hata mbwa au jogoo, siku zote wa kiume ndio hufuata wa kike maana hisia za kutia huwa zinatutesa sana sisi wa kiume.
 
Aah case yako ilikuwa intense. Wapo wenzako, trako moja tu ndiyo kuamka hadi mwezi ujao; ila anataka alale na wanawake wengi ili huku nje wajue kuwa ndugu yetu naye kidume, kumbe maskini ya Mungu aibu yake na mkewe.

Afu kwa nini mnafikiri mwanamke akichepuka ni anataka kumkomesha mumewe? Wengine wanachepuka kwa hulka zao tu
 
Jamani yaani mchepuko hadi ananuna ukimpost mkeo afu unaona ni kitu cha kawaida tu. Ngoja wivu wake uzidi akamroge mkeo afe, then aolewe yeye. Mume anapelekeshwa na mchepuko mweeh; Mungu tusaidie
 

Mwanamke mpaka achepuke kwa hiari labda awe gumegume la mjini, haipo kwenye bayolojia yenu, maana hizo hisia za kupata minyege kisa umemuona mwanamume kapendeza haipo kwenu sana, ndio utaona kapendeza kisha mpishane na ikutoke akilini, ila kwa mimi mwanaume ninaweza nikakosa amani mpaka siku iishe nadindisha dindisha kisa kuna demu nilipisha naye asubuhi ambaye alikua anapendeza balaa kaniteka, inaweza ikanichukua hata mwezi hata mwaka namuwaza tu huyo na wengine ambao napishana nao kila siku, maisha yetu sisi wanaume acha tu, ni mateso, kwanza kwa wale rijali.

Kwa gym juzi nusra niaibike, nilijikuta nadindisha pale mademu walikwwenda kwenye stretchup session halafu wakakaa mkao fulani hivi wamebinua wote, matukio kama hayo hayawakuti wanawake.
 
Jamani yaani mchepuko hadi ananuna ukimpost mkeo afu unaona ni kitu cha kawaida tu. Ngoja wivu wake uzidi akamroge mkeo afe, then aolewe yeye. Mume anapelekeshwa na mchepuko mweeh; Mungu tusaidie
Siamini hayo mambo ya kishirikina.
Ninachojali ni wife asijue lolote juu ya mchepuko. Na ana amani kwani hata simu zangu anazitumia muda wowote akitaka.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Acha ubinafsi unaongea kama vile unajua mwanamke anavyojisikia?Upo ndani ya mwili wake ama?mwanamke anaweza kuvutiwa kama wewe na akasisimkwa na anavuta hisia kama wewe na akapatwa na mhemko na nyege kama wewe!Hio baiolojia yako uliisoma wapi?Tofauti ni kwamba ww unaerect na ipo more visible ila mwanamke anaweza kuficha akilowa or watsoever😅

Ni taboo kwa wanawake kusema vitu hivi lkn mnatubore inabidi tuseme sasa mnatuchukulia poa sana!
 
This is my sister bana[emoji122][emoji122]

Huwa sina shaka nawe kabisaa!!
 
Mmh we umejiandaa vilivyo....ila dawa ya moto ni maji
 
Umelelewa vizuri sana hauna Ndg yako nioe? Mana umeshaolewa...Mungu akubariki
 
Kila kitu kinakuja na mindset yako.Ukiwa akili yako kwenye ngono kila mwanamke atakayepita utamtamani kwasababu umeshaweka mindset yako hapo umeenda hapo baa kuangalia wanawake baadala ya kunywa bia yako urefresh mind.Ofisini fanya kazi mkuu acha kuchekacheka na vibinti na hata kama ukierect haimaanishi ndio you must have sex ni nature yenu kuerect mbona hata watoto wachanga wanaerect ni kawaida.Ni kithibitisho kwamba mitambo ipo sawa au unataka kuniambia hivi vitoto vichanga vinatamani navyo?Ukiamka asubuhi kama ni rijali lazima mitambo ikae sawa pia unataka kuniambia lazima usex hapo napo!Vitu vingine ni kujiendekeza tu!

Nguvu za kiume zinapungua kwa mwanaume fanyia uchunguzi hilo hasa kutokana na umri.Mtu akiwa kwenye miaka ya 20-30 anakuwa moto ila umri unavyoenda na nguvu zinapungua na ufanisi unapungua ni kawaida hata mbegu za kiume pia zinakuwa hazipo very effective after age 35....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…