Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Tena hizo roho zinapaa kabisa kuflirt sie ha ha ha....mkuki kwa nguruwe bwana!
 
Yani ww mwanamke unastahili ulinzi kwa kwel...! Na picha yako iwekwe kwenye ofisi zote za serikali
 
Vile inaonekana huduma muhimu hubby anakupatia (OG na mengineyo) ndo maana umeishia kumuonea huruma.
Usisitishe game..tena ongezea manjonjo mpe ipasavyo.
Jamaa atumie helmet tu kwa kina zuchu. Tena ukiweza mnunulie na msisitize acheze salama.
 
Mimi sijasema[emoji38][emoji38][emoji38]
Hujasema ila nikiwa nice guy utaona kubwa jinga hili linaboaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… janaume limezubaa hili... Hii huwa unasemwa pembeni sio usoni!
 
Huyu mleta maada atakua hana kipato chake, kwao hali mbaya yeye ndo kaolewa na don, au alijibebesha mimba ili aolewe, au ana sura personal na km zimesoma sanaaa. Kwa kifupi ninaweza kusema hana maisha anaishi maisha ya huyo mwanaume. Endelea kuvumilia ila usisahau kuna chai angalia usije kuungua tu ukaacha watoto wanataabika kwa uzembe wako.
 
Dah.., kwahio mtu akivumilia maana yake hana kipato chake?
 
Dah.., kwahio mtu akivumilia maana yake hana kipato chake?
Chunguza hilo swala ninalokwambia mwanamke asiyekua na kipato hana pa kwenda. Hata ulete mwanamke ndani atajifanya kuvumilia kwa ajili ya watoto kumbe hana lolote nina mifano hai kabisaaa.
 
Mwanaume n wako ukiwa naye akiisha geuza mgongo n wa wote cha muhimu ,usiwe unakagua smu ya mumewe utajipa stress kam mtu anatimiza majukumu yake n vizuri, koz ukisema umgusie hyo sms humo ndani hakutakuwa na amani kabisa.
 
 
We ni mwanamke haswaaaa..hongera

Mwombee tu apate ufahamu amwache huyo mchepuko arudi kwa familia yake
 
I wish ningekua na moyo kama wako,, hongera sana kwa uvumilivu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…