[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe dah [emoji23][emoji23]He he he he dada unaumwa malaria nn?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeniudhiii. Napata hasira kwa niaba yako.
Ningemjib text "bado hujajua kumkatia viuno vizuri ongeza bidii na mimi mama nyuki nitatop up"
Unalaaje kizembe hv[emoji23][emoji23]
For sure niliwahi fanya kwa boyfriend wangu.Mburaaa!!!!ungemtext uyo dada umwambie daa nimekwama hapa km ef50 ntakupa kesho asubuhi nikipitia bank.. tuma kwa namba hii unaweka yako akituma unafuta sms..... kesho wakiulizana we unauchuna kama hujui kitu..
kwenye betting tunaita double chance/ waswahili wanasema unaua ndege wawili kwa jiwe moja/ wazungu win win situation [emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]Chunguza hilo swala ninalokwambia mwanamke asiyekua na kipato hana pa kwenda. Hata ulete mwanamke ndani atajifanya kuvumilia kwa ajili ya watoto kumbe hana lolote nina mifano hai kabisaaa.
Ndo kazi za michepuko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe dah [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] big up darling.. thats how we roll it.For sure niliwahi fanya kwa boyfriend wangu.
Mimi niliandika hivi . Babe nimekwama namanga namizigo naomba unitumie hela laki mbili kwa hii namba yangu imeisha charge nikaweka silent yule dada alipiga nikakata nikamwambia haina charge nanikikosekana nilipo itakuwa msala.
Kidogo akatuma laki tatu na nusu kwangu wewe .
Nilifurahi nikamtext asante babe you are the best akajibu usijali TUKO PAMOJA kitu kama hii .
Baadae kabisa kama wiki mbili 2 weeks akaja kukinukisha yule kaka hapendagi maneno.
Akaandika hivi dear kaka toto kazuri mbona umenifanyia hili jambooo?
Siungesema mimi ningekupa walahi hatoi angetoa njaa zisingekuwepo.
Akadai tuachane.
Nikadai powa .
Yule dada waleo hakupewa hela alipewa penzi tu.
Ila mimi nikaenda na hela .
Hii ni comment ya mwanamke aliepigwa na kuchakazwa na maishaHuyu mleta maada atakua hana kipato chake, kwao hali mbaya yeye ndo kaolewa na don, au alijibebesha mimba ili aolewe, au ana sura personal na km zimesoma sanaaa. Kwa kifupi ninaweza kusema hana maisha anaishi maisha ya huyo mwanaume. Endelea kuvumilia ila usisahau kuna chai angalia usije kuungua tu ukaacha watoto wanataabika kwa uzembe wako.
Acha kujifariji wanaume Malaya hamna nguvu za kiume nwisho mwaishia kuwazalilisha wake zenu na michepuko kuwatia vidole tu
Pole so kwasasa umepona? Umeshaanza kugawa dose nje?Hehehe!! Nguvu za kiume ndo sababu kuu ya kwanini wanaume wengi huamua kutulia ndani badala ya hizo aibu, nakumbuka kipindi fulani nikiwa na mapungufu ya nguvu za kiume, kuna demu alikua ameniganda ofisini, nilikua natumia kila mbinu kumkwepa, aliniona kama jamaa moja mstaarabu asiyependa kuchepuka, ila sikua nataka aishie kunisema kwa wenzake ikitokea nimemkubali halafu nishindwe kutimiza shughuli.
Yaani mimi nilipo hapa mke kanipa limbwata na mchepuko kanipa limbwata yaani najiona kama niko sayari ya Pluto
Pole so kwasasa umepona? Umeshaanza kugawa dose nje?
Una hakika wewe sio malaika??Tuko tafauti mpnz ww ndivyo ulivyo mm niko vingine kabisa si solve kwa kutafuta shari zingine nasolve kwa kwa kutafuta amani. Unapambana na huyu una quit uta quit mahusiano mangapi? halafu kumbuka huyu ni mume na sijawahi kuta its just a first time ndo nakuta hii kitu for 8yrs unasema niquit.
Nop. Kuumia ni kawaida ila hapa tunaongelea uhalisia na jinsi ambavyo jamii imeharibika. Angalau miaka ya nyuma maradhi hayakua mengi na globalization haikua kubwa hivi. Lazima tuendane na kasi ya mabadiliko or else uletewe hepatitis hapohapo ndaniMiss naona umeshaumizwa sanaa kilichobakia kwako ni Mbwai mbwai au sio
Wewe ndo huna maisha. Umeshajichokea huna pa kwenda ndo maana unaona mwanaume wako kuwa na mchepuko ni sawa tu[emoji23]. Ukaamua uanzishe uzi huku ili wapumbavu wakupe hongera[emoji23][emoji38]Hii ni comment ya mwanamke aliepigwa na kuchakazwa na maisha
Si bure nati zitakua zimekatika kichwani mwake. Isije kua mwanaume alimuoa kwa kumuonea huruma.Mkuu kumuachia mumeo a cheat ni sawa na kujivalisha mabomu kama wale suicide bombers! Kuna magonjwa mengi siku hizi, utaletewa ukimwi ndani, ninachoona mimi Uko kwenye denial state, huamini kama mumeo anakusaliti, na unafeel guilty and helpless labda kuna vitu hukufanya .. accept the reality kwamba hukufanya lolote na mumeo doesn’t deserve you, move on! Wengi tu wameweza kuishi peke yao na watoto bila ndoa, YES UNAWEZA
Weka hapa hio tafiti 😂😂😂Amini nakuhakikishia wewe ni mwepesi mno, hapa unaandika tu but huna zaidi ya kukubali matokeo. Tafiti zinaonyesha wanawake wenye misimamo Kama yako huwa hawana ujanja wowote kwa mwanaume.