Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
He he he he dada unaumwa malaria nn?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeniudhiii. Napata hasira kwa niaba yako.

Ningemjib text "bado hujajua kumkatia viuno vizuri ongeza bidii na mimi mama nyuki nitatop up"

Unalaaje kizembe hv[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe dah [emoji23][emoji23]
 
Mburaaa!!!!ungemtext uyo dada umwambie daa nimekwama hapa km ef50 ntakupa kesho asubuhi nikipitia bank.. tuma kwa namba hii unaweka yako akituma unafuta sms..... kesho wakiulizana we unauchuna kama hujui kitu..
kwenye betting tunaita double chance/ waswahili wanasema unaua ndege wawili kwa jiwe moja/ wazungu win win situation [emoji2][emoji2]
For sure niliwahi fanya kwa boyfriend wangu.
Mimi niliandika hivi . Babe nimekwama namanga namizigo naomba unitumie hela laki mbili kwa hii namba yangu imeisha charge nikaweka silent yule dada alipiga nikakata nikamwambia haina charge nanikikosekana nilipo itakuwa msala.
Kidogo akatuma laki tatu na nusu kwangu wewe .
Nilifurahi nikamtext asante babe you are the best akajibu usijali TUKO PAMOJA kitu kama hii .
Baadae kabisa kama wiki mbili 2 weeks akaja kukinukisha yule kaka hapendagi maneno.
Akaandika hivi dear kaka toto kazuri mbona umenifanyia hili jambooo?
Siungesema mimi ningekupa walahi hatoi angetoa njaa zisingekuwepo.
Akadai tuachane.
Nikadai powa .
Yule dada waleo hakupewa hela alipewa penzi tu.
Ila mimi nikaenda na hela .
 
Chunguza hilo swala ninalokwambia mwanamke asiyekua na kipato hana pa kwenda. Hata ulete mwanamke ndani atajifanya kuvumilia kwa ajili ya watoto kumbe hana lolote nina mifano hai kabisaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
For sure niliwahi fanya kwa boyfriend wangu.
Mimi niliandika hivi . Babe nimekwama namanga namizigo naomba unitumie hela laki mbili kwa hii namba yangu imeisha charge nikaweka silent yule dada alipiga nikakata nikamwambia haina charge nanikikosekana nilipo itakuwa msala.
Kidogo akatuma laki tatu na nusu kwangu wewe .
Nilifurahi nikamtext asante babe you are the best akajibu usijali TUKO PAMOJA kitu kama hii .
Baadae kabisa kama wiki mbili 2 weeks akaja kukinukisha yule kaka hapendagi maneno.
Akaandika hivi dear kaka toto kazuri mbona umenifanyia hili jambooo?
Siungesema mimi ningekupa walahi hatoi angetoa njaa zisingekuwepo.
Akadai tuachane.
Nikadai powa .
Yule dada waleo hakupewa hela alipewa penzi tu.
Ila mimi nikaenda na hela .
[emoji23][emoji23][emoji23] big up darling.. thats how we roll it.
 
Huyu mleta maada atakua hana kipato chake, kwao hali mbaya yeye ndo kaolewa na don, au alijibebesha mimba ili aolewe, au ana sura personal na km zimesoma sanaaa. Kwa kifupi ninaweza kusema hana maisha anaishi maisha ya huyo mwanaume. Endelea kuvumilia ila usisahau kuna chai angalia usije kuungua tu ukaacha watoto wanataabika kwa uzembe wako.
Hii ni comment ya mwanamke aliepigwa na kuchakazwa na maisha
 
Acha kujifariji wanaume Malaya hamna nguvu za kiume nwisho mwaishia kuwazalilisha wake zenu na michepuko kuwatia vidole tu

Hehehe!! Nguvu za kiume ndo sababu kuu ya kwanini wanaume wengi huamua kutulia ndani badala ya hizo aibu, nakumbuka kipindi fulani nikiwa na mapungufu ya nguvu za kiume, kuna demu alikua ameniganda ofisini, nilikua natumia kila mbinu kumkwepa, aliniona kama jamaa moja mstaarabu asiyependa kuchepuka, ila sikua nataka aishie kunisema kwa wenzake ikitokea nimemkubali halafu nishindwe kutimiza shughuli.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK

Pole so kwasasa umepona? Umeshaanza kugawa dose nje?
 
Yaani mimi nilipo hapa mke kanipa limbwata na mchepuko kanipa limbwata yaani najiona kama niko sayari ya Pluto

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂yaani nimecheka sana
 
Pole so kwasasa umepona? Umeshaanza kugawa dose nje?

Tatizo lilikua mipombe na ukosefu wa mazoezi na kutozingatia lishe bora, kila siku nilikua nakula vitu vya hovyo chips, mayai n.k.
Lakini niliamua turn around kali sana, nikashusha 46kgs kwa mazoezi makali, na kula vyakula vyenye lishe bora, nikaacha pombe na mambo mengine mengi, leo ni rijali full minguvu, waje tu sasa wapange foleni hehehe....

Hata hivyo sichepuki, maana tatizo huko nje nitalazimika kutumia condoms, sizipendi.... Hivyo mke wangu tu ndiye mtamu maana nakwenda naye bila condom bila kuogopa.
 
Tuko tafauti mpnz ww ndivyo ulivyo mm niko vingine kabisa si solve kwa kutafuta shari zingine nasolve kwa kwa kutafuta amani. Unapambana na huyu una quit uta quit mahusiano mangapi? halafu kumbuka huyu ni mume na sijawahi kuta its just a first time ndo nakuta hii kitu for 8yrs unasema niquit.
Una hakika wewe sio malaika??

Mi sishauri muachane ila nachoweza kukushauri acha kabisa simu ya huyo baba maana ukiendelea kuipekua yajayo yanaweza yasiwe ya kufurahisha!!

Usiwe unaigusa hata kwa bahati mbaya hasa kwenye texts na whatsapp!!
 
Mkuu kumuachia mumeo a cheat ni sawa na kujivalisha mabomu kama wale suicide bombers! Kuna magonjwa mengi siku hizi, utaletewa ukimwi ndani, ninachoona mimi Uko kwenye denial state, huamini kama mumeo anakusaliti, na unafeel guilty and helpless labda kuna vitu hukufanya .. accept the reality kwamba hukufanya lolote bayw na mumeo doesn’t deserve you, move on! Wengi tu wameweza kuishi peke yao na watoto bila ndoa, YES UNAWEZA
 
Miss naona umeshaumizwa sanaa kilichobakia kwako ni Mbwai mbwai au sio
Nop. Kuumia ni kawaida ila hapa tunaongelea uhalisia na jinsi ambavyo jamii imeharibika. Angalau miaka ya nyuma maradhi hayakua mengi na globalization haikua kubwa hivi. Lazima tuendane na kasi ya mabadiliko or else uletewe hepatitis hapohapo ndani
 
Hii ni comment ya mwanamke aliepigwa na kuchakazwa na maisha
Wewe ndo huna maisha. Umeshajichokea huna pa kwenda ndo maana unaona mwanaume wako kuwa na mchepuko ni sawa tu[emoji23]. Ukaamua uanzishe uzi huku ili wapumbavu wakupe hongera[emoji23][emoji38]
 
Mkuu kumuachia mumeo a cheat ni sawa na kujivalisha mabomu kama wale suicide bombers! Kuna magonjwa mengi siku hizi, utaletewa ukimwi ndani, ninachoona mimi Uko kwenye denial state, huamini kama mumeo anakusaliti, na unafeel guilty and helpless labda kuna vitu hukufanya .. accept the reality kwamba hukufanya lolote na mumeo doesn’t deserve you, move on! Wengi tu wameweza kuishi peke yao na watoto bila ndoa, YES UNAWEZA
Si bure nati zitakua zimekatika kichwani mwake. Isije kua mwanaume alimuoa kwa kumuonea huruma.
 
kwakweli mitego ni mingi mno watusamehe tu!
 
Amini nakuhakikishia wewe ni mwepesi mno, hapa unaandika tu but huna zaidi ya kukubali matokeo. Tafiti zinaonyesha wanawake wenye misimamo Kama yako huwa hawana ujanja wowote kwa mwanaume.
Weka hapa hio tafiti 😂😂😂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom