Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Huwajui wanaume wewe. Yawezekana bado mtoto. Sisi wanaume huwa hatukubali kushindwa, yaan ukitaka mwanaume akucheat mpaka ujiue basi mwaibishe ukimkamata ugoni, ukitaka aache basi hakikisha amejua kuwa umejua halafu chukulia poa, na jifanye wewe ndo mwenye makosa, wallah atakuogopa hatar
 
Yeye anajibu na kushushua wanawake wenzake humu kwa vile Wana mwambia ukweli, hajui wengine wazoefu humu, maskini anataka kusifiwa na aaminishwe mumewe ha cheat loh I feel sorry for her loh.
 
Vigezo na masharti vizingatiwe. WEAK MEN CAN'T HANDLE STRONF WOMEN.

We stand on what we believe. Being chubby ama slim has nothing to do with cheaters with their silly behaviours.
The strong woman never revenge, huo ndiyo tunaita some one is strong

Lkn wachovu na legevu hujitutumua kulipiza kisasi ili wajionyeshe eti wako strong

Kama uko strong hakuna haja yakujificha fanya live kama kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pole Sana usilazimishe ulivyo wewe na wengine wawe hivyo

Kamhurumia mumewe [emoji8][emoji8][emoji8] Safi Sana
 
Aisee una nitukana kwa nini mkuu unifahamu kiasi cha kuniita mbwa na malaya kama unaona comments zangu hazikufurahishi usi Reply tusivunjiane heshima.
Pole Sana usiumie Sana kama siyo Malaya wala haikuasili chochote msamehe endelea mbele

[emoji106][emoji106][emoji106]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aisee!!
 
Hapo alipokuhakikishia hata kama alitaka kumla AMEAHIRISHA umeniacha hoi.
Kifupi jamaa anamjua mkewe vizuri, kwahiyo wala hakutaka kujisumbua sana na majibu! Ameupiga mwingi mambo yakawa fresh!!!
 
Uko sawa kabisa. Kanishangaza sana alivyoandika kwamba mumewe kamjibu kwamba hata kama alikuwa anataka kumla KAAHIRISHA. 😂😂

Kifupi jamaa anamjua mkewe vizuri, kwahiyo wala hakutaka kujisumbua sana na majibu! Ameupiga mwingi mambo yakawa fresh!!!
 
Uko sawa kabisa. Kanishangaza sana alivyoandika kwamba mumewe kamjibu kwamba hata kama alikuwa anataka kumla KAAHIRISHA. 😂😂
Nimejifikiria tu kama ndio ningekuwa mimi,
Yani nimekuta hadi evidence halafu mtu aje na majibu mepesi hivi?? Huyu dada anaweza hata kuishi nyumba moja na michepuko ya mumewe na bado akawa na amani!
 
Wanaume wengine wana bahati sana ya kupata mke kama huyu aliyejawa na huruma za hali ya juu kwa mumewe mzinzi.

Nimejifikiria tu kama ndio ningekuwa mimi,
Yani nimekuta hadi evidence halafu mtu aje na majibu mepesi hivi?? Huyu dada anaweza hata kuishi nyumba moja na michepuko ya mumewe na bado akawa na amani!
 
Shemeji kunywa unachopenda kwa idadi unayotaka, nitalipa. Naomba uendelee kuwa balozi mtukufu wa wanaume wachepukaji
 
Ni bahati tena kubwa sana. ME gani asiyetaka kuwa na mke mwenye kumuonea huruma mumewe pale anapombamba na chats za mchepuko? Na majibu mepesi tu kwamba nilitaka kumla basi sasa sitamla tena nimeahirisha hadi labda siku za usoni na nyumba iko shwari kabisa. Ukiwa na mke kama huyu ndoa itadumu milele hadi kufa na kuzikana.

Hii kweli ni bahati😅
 
Wanawake hata ka mwanaume hasimamishi as long as unatoa vihela hauachwi ng'o in short huwa mnaenda kuzalilisha wenzi wenu huko nje kah.

Machangu ndio wasiojali almradi unatoa vihela na ndio maana mwanaume ukijua una mapungufu unakwenda kwa changu ambalo hata halijali kujua jina lako au wewe wa wapi, unalipia na anakusaidia kuamsha dushe mpaka liwe tayari, na hata ukipungukiwa yeye hajali, atakua tayar hapo kukusaidia kwa muda wote maana umelipia.
Ukimaliza anaoga na kuondoka, hamjuani na mnaachana hivyo hivyo kwaheri......
Lakini demu wa ofisini au mtaani ole wako ushindwe, upungukiwe nguvu mkiwa naye, utasemwa kwa marafiki zake wote mpaka basi, mtaani utafahamika tu, ndio maana mwanaume ukijua una matatizo unawakwepa hao wa karibu na kujifanya mwaminfu asiyependa michepuko.
 
Hey lovely miss Pablo. I don't believe if you're still single. Wish to propose something here right now, no need of due process.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…