Nikuulize kwanini unachepuka? Kwamba kuna sababu imesababisha uchepuke? Wewe haunijui vizuri.Ningalikuwa mumeo ningalikupiga mpk uone jinsi Tanzania ilivyoingia uchumi wa kati!!.. kwanini unishambulie bila kuniuliza kwanini nachepuka..?[emoji23]
Kanuni yangu ni ile ile.Ukishaliamsha dude endpoint utataka iweje?
Si nachepuka ili nipate uzoefu zaidi ili nikufadishe mke wangu shida nini hapo..?Nikuulize kwanini unachepuka? Kwamba kuna sababu imesababisha uchepuke? Wewe haunijui vizuri.
Mwisho wa siku utaendelea kuwa na mumeo tu labda uwe na kiburi cha kipato uombe talakaHalooo, unamwonea huruma??
Ningekuwa mimi kwenye hiyo nafasi yako sijui ingekuwaje yaani. Vile ningeliamsha dudeee.
Naomba nimuoe.mdogo wako kama unae..may b akawa na Gens kama zako..sipend wanawake wenye midomo kama chirikuKatika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".
Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana nikimuangalia mume wangu.
He is so good kwetu mimi na watoto yani hakuna kitu tuombe asitimize. Ila huruma imenijia kwa sbb ana majukumu mazito mbele yake kwa sasa na huyu mchepuko hajui anawaza hela ya biashara.
Na kuhusu kumwambia nimepanga nimwambie yeye aendelee na mambo yake hela ni zake bwana ila chonde chonde asiniletee magonjwa as kwangu mimi nimetulia na najiamini kwa asilimia 100.
Na kupambana eti na mchepuko sijui kupambana na mume siwezi kisasi ni cha Mungu. Halafu kwa nature ya wanaume walivyo ntagombana na wangapi. Au mnasemaje wadau? Mie ninamuonea sana huruma maskini unakuta anawaza familia kumbe kuna ka mchepuko kanampa stress tena naogopa kasije kakamroga akatusahau, Nifanyeje?
Ungetulizwa tuHalooo, unamwonea huruma??
Ningekuwa mimi kwenye hiyo nafasi yako sijui ingekuwaje yaani. Vile ningeliamsha dudeee.
sasa fanya kama una-balance mizani hivi ni-PMNamuhurumia mume tuu ni wangu
😁Naunga mkono hojaKanuni yangu ni ile ile.
Akichepuka mapenzi yameisha. Na kumwacha wala simwachi ila ni zamu yangu na mimi kutafuta kakijana kawe kananiponza machungu. Wote tuna haki ya kubadilisha ladha.
Sawa, ila sitoacha jambo lipite.Si nachepuka ili nipate uzoefu zaidi ili nikufadishe mke wangu shida nini hapo..?
Halafu ndio tumeambiwa tuoe mke mmoja lakini Mimi ni nani Kama bwana wa mbinguni ataniletea wanne! Siwezi kupinga amri ya alie mbinguni nitapinga ya hapa duniani tu..[emoji16][emoji12]
ila una ka shapeKabisa kabisa ndo maana siwazi kuchepuka na mm coz ni kuzidisha matatizo
Hata mimi sitaki kumwacha. Niombe talaka ya nini?Mwisho wa siku utaendelea kuwa na mumeo tu labda uwe na kiburi cha kioato uombe talaka
Kama unamjua vile. Ni mpole na mataratibu namuonea huruma maana maybe anaendeshwa huko kama gari bovuHeshima yako kwake ndiyo imefanya mchepuko kupewa jibu hilo. Halafu mumeo mpole na mstaarabu sana asiyetaka kumkwaza mtu hata kama anajua jibu ni NO.
Kifupi hayupo tayari kugharamia sana mchepuko huo, ila hataki kutoka kappa. Huenda huyo mwanamke ndiye aliamza kulegeza masharti kabla mumeo hajatest vocal kama zina sumu.