Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.

MUULIZE KWA UPENDO NA KAMA RAFIKI KWANINI ANATOKA NJE HALAFU MPE POLE NA UMSHAURI ATAFUTE MWINGINE NA UMWAMBIE HUYO ANAMCHUNA TU.Ninaamini ataongea mengi na kujutia makosa yake
 
Mara moja moja si mbaya. Macho hayana pazia
Hebu andaa siku moja special umkatie uno la kutosha, jitume hasa umpe ma style kama yote.

Mkimaliza muulize kama ametosheka.

Akisema yes, bas mwambie aachane na huyo hawara, you everything about that fvcking chicken.

He will respect you to death
 
-Au anaweza kuongeza umakini Zaidi Katika kuchepuka
-Au anaweza kuanza kumuogopa Na kumpa talaka mana atahisi anaweza kuchomwa hata kisu usingizini
Kumpa talaka ni ngumu, labda kama alikua na wazo hilo kichwani hvyo natafuta sababu ya ugomvi, ila ugomvi utakuja kulingana na mwanamke atakavyomuendea huyo jamaa

Wanaume ata tukiwa makosani hatupendi kuletewa Fujo tuambie kistaarabu tu
 
Kumpa talaka ni ngumu, labda kama alikua na wazo hilo kichwani hvyo natafuta sababu ya ugomvi, ila ugomvi utakuja kulingana na mwanamke atakavyomuendea huyo jamaa

Wanaume ata tukiwa makosani hatupendi kuletewa Fujo tuambie kistaarabu tu
Nyooo... ustaatabu huwa kwenu tuu kwetu ndo tunataka vurugu siyo[emoji23]
 
Kanuni yangu ni ile ile.
Akichepuka mapenzi yameisha. Na kumwacha wala simwachi ila ni zamu yangu na mimi kutafuta kakijana kawe kananiponza machungu. Wote tuna haki ya kubadilisha ladha.
You kill it...😍😍
Naunga mkono hoja👏👏
 
Kuna wanaweke tunawatafta weeee...kama huyu ila atuwapati, nimeshatendwa sana kwenye mapenzi na mwezi huu nimeachwa tena mpenzi wangu kaolewa bado niko nauguza maumivu lakini sija-give up namuomba Mwenyezi Mungu anipatie mwanamke anae nipenda kama huyu coz sijawai kumtenda mtu tokea nitoke kwenye womb ya mama, nikimpata nitashukuru sana INSHA ALLAH!!
 
Mke anauma aisee, sisi hua tukichepuka ni kwajili ya mechi tu na vijitamaa ila nyie daah mkichepuka mnauza hadi upendo ndio sababu[emoji23]
Mechi yenyewe unashindwa kumuomba mmeo unachepuka, huo ni upuuzi[emoji82] Tamaa mbaya hiyo nakubali kila mwanamke anayo 7bu hamlizikagi, nikioa nikajua mke wangu anafanya upuuzi huu napiga down mara moja
 
50 ndogo unamwambia laki Tena Kama Hana unamwambia kopa tu kesho nakurudishia bby
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…