Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Upalizwe mbinguni. Upewe siti ya pembeni kwa Bikira Maria
Ahaaaa namfariji mwanamke mwenzangu maana hakuna namna.mwanaume akiwa na hela lazima atoke nje.

Vip wewe unachepukaga?
 
Halooo, unamuonea huruma??
Ningekuwa mimi kwenye hiyo nafasi yako sijui ingekuwaje yaani. Vile ningeliamsha dudeee.
ndo mana hii nafasi hujaipata na hutoipata
 
Daaaah kweli mumeo kapata mke hongera sanaaa mama
 
Pole ndo mjue kuwa mnavofanyia wanawake nao huwa Wana pain na Bora mkeo alikulipiza asingekulipiza isingekuwa na ndoa, nyie wanaume huwa mnatafta sababu za kuumiza wake zenu. Mimi mwanamume Malaya nitamvumilia ka na Mimi ni muhuni ila nikiwa nimetulia anarudia daily hyo tabia loh asubuhi shadai talaka mapema mno.
 
Hivi ndio wanawake munatakiwa kuji behave ikiwa kuna kiu kama hicho,kujifanya wewe ni zaidi au unataka uwe pekee yako haiwezekani.Mume hata ukimsitisha hapa kwa huyu mchepuko atatulia baada ya mwezi atatafuta mwngine tu na huyo itakuwa siri nzito kwako .
nb:Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja labda awe na ugonjwa
 
Aisee
 
Halooo, unamuonea huruma??
Ningekuwa mimi kwenye hiyo nafasi yako sijui ingekuwaje yaani. Vile ningeliamsha dudeee.
Dah....yaani kidogo kidogo naanza kuelewa maneno ya kiingereza ..... Wife material
 
Bahati yako umeolewa...

Yani una bahati sana ni mke wa Mtu...

La sivyo tungesumbuana sana PM huko...
 
Shida ni kwamba wanawake type yako wanapatikana GOOGLE tu

ukija in real life huku kwenye maisha yenyewe ya mahusiano na ndoa

kumpata wa aina yako nadhani tusubiri Kontena jipya ataloliumba Mungu ktk dunia ijayo...
 
Shida ni kurudia rudia kosa. Kama ni kosa la kwanza acheni tu nimsamehe husband. Kwanza nilishamsamehe tulishayamaliza
 
Shida ni kurudia rudia kosa. Kama ni kosa la kwanza acheni tu nimsamehe husband. Kwanza nilishamsamehe tulishayamaliza
Shida sio kumsamehe watu twaweza ishi tu na hata tusiye mpenda kusogeza siku, shida huwa ukivunja trust ni shughuli kuirudisha kabisa.
Ndio maana Bora afanyaye uchafu wote kwa Siri kubwa bila kujulikana wallah
 
Utaachana na wangapi? Kumbuka hujaoa au kuolewa na kinyago au kaka/dada yako ambaye mmezaliwa wote na kujuana tabia tangu utotoni. Hii dhana ya talaka nayo ni balaa maana kama ndani ya fikra zako kuna talaka hakuna haja ya kuolewa/kuoa
 
Utaachana na wangapi? Kumbuka hujaoa au kuolewa na kinyago au kaka/dada yako ambaye mmezaliwa wote na kujuana tabia tangu utotoni. Hii dhana ya talaka nayo ni balaa maana kama ndani ya fikra zako kuna talaka hakuna haja ya kuolewa/kuoa
Yani Mimi nikichefukwa nafanya maamuzi magumu Tena nikishakuwa na watoto ndo haswa hamu na mtu mhuni inakufa kabisa, Mimi siwezi unafiki kitu kikinichefua to the maximum nafanya maamuzi na sirudii nyuma, tunaolewa tuzae Sasa nimezaa mzima kwanini mtu akwaze roho yangu woooi.
 
Msimamo wa mtu hutegemea wakati, umri na mazingira yanayomzunguka kwa wakati huo. Huo mtizamo wako Upo Sawa leo lakini utakuwa tofauti miaka 30 ijayo; amini nakuaeleza
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…