Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,278
Matokeo ya kukaa na visasi na maumivu Moyoni matokeo yake ni mauaji ya kimbariDuh hii ni balaa mambo ya kuuana tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo ya kukaa na visasi na maumivu Moyoni matokeo yake ni mauaji ya kimbariDuh hii ni balaa mambo ya kuuana tena
Ahaaaa namfariji mwanamke mwenzangu maana hakuna namna.mwanaume akiwa na hela lazima atoke nje.Upalizwe mbinguni. Upewe siti ya pembeni kwa Bikira Maria
ndo mana hii nafasi hujaipata na hutoipataHalooo, unamuonea huruma??
Ningekuwa mimi kwenye hiyo nafasi yako sijui ingekuwaje yaani. Vile ningeliamsha dudeee.
Tena tusamehewe bure.Wanaume tusamehewe
ngoja akwambie mparrreee...Kabila gani wewe na mimi nikaoe kwenu?
Mimi? Hapana asee...Ahaaaa namfariji mwanamke mwenzangu maana hakuna namna.mwanaume akiwa na hela lazima atoke nje.
Vip wewe unachepukaga?
Daaaah kweli mumeo kapata mke hongera sanaaa mamaKatika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? Jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".
Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana nikimuangalia mume wangu.
He is so good kwetu mimi na watoto yaani hakuna kitu tuombe asitimize. Ila huruma imenijia kwa sbb ana majukumu mazito mbele yake kwa sasa na huyu mchepuko hajui anawaza hela ya biashara.
Na kuhusu kumwambia nimepanga nimwambie yeye aendelee na mambo yake hela ni zake bwana ila chonde chonde asiniletee magonjwa as kwangu mimi nimetulia na najiamini kwa asilimia 100.
Na kupambana eti na mchepuko sijui kupambana na mume siwezi kisasi ni cha Mungu. Halafu kwa nature ya wanaume walivyo ntagombana na wangapi. Au mnasemaje wadau?
Mie ninamuonea sana huruma maskini unakuta anawaza familia kumbe kuna ka mchepuko kanampa stress tena naogopa kasije kakamroga akatusahau, Nifanyeje?
Pole ndo mjue kuwa mnavofanyia wanawake nao huwa Wana pain na Bora mkeo alikulipiza asingekulipiza isingekuwa na ndoa, nyie wanaume huwa mnatafta sababu za kuumiza wake zenu. Mimi mwanamume Malaya nitamvumilia ka na Mimi ni muhuni ila nikiwa nimetulia anarudia daily hyo tabia loh asubuhi shadai talaka mapema mno.Hujaoa - nyamaza tu. Umeoa na mkeo hajawahi kucheat-nyamaza. Umeoa na ulishamfuma mkeo kacheat, karibu tuwape vijana uzoefu!
nilimkamata wangu nikaprove kwake na aliyekuwa anamgida nikampa adhabu aliyochagua mbele ya mke wangu. Mke wangu bado ninaye ila kidonda bado kipo moyoni. Sababu za kutomwacha:
1. Nami nilikuwa mchepukaji na alinieleza alikuwa analipa kisasi,
2. Aliomba msamaha;
3. Umri
4. Kutokana na namba 4 hapo juu, niliogopa kuanza maisha mapya na mwanamke mwingine
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Muache tu akague simu yake atalia jana nilikuwa naye alinipa hela nusu
AiseeKatika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? Jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".
Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana nikimuangalia mume wangu.
He is so good kwetu mimi na watoto yaani hakuna kitu tuombe asitimize. Ila huruma imenijia kwa sbb ana majukumu mazito mbele yake kwa sasa na huyu mchepuko hajui anawaza hela ya biashara.
Na kuhusu kumwambia nimepanga nimwambie yeye aendelee na mambo yake hela ni zake bwana ila chonde chonde asiniletee magonjwa as kwangu mimi nimetulia na najiamini kwa asilimia 100.
Na kupambana eti na mchepuko sijui kupambana na mume siwezi kisasi ni cha Mungu. Halafu kwa nature ya wanaume walivyo ntagombana na wangapi. Au mnasemaje wadau?
Mie ninamuonea sana huruma maskini unakuta anawaza familia kumbe kuna ka mchepuko kanampa stress tena naogopa kasije kakamroga akatusahau, Nifanyeje?
Dah....yaani kidogo kidogo naanza kuelewa maneno ya kiingereza ..... Wife materialHalooo, unamuonea huruma??
Ningekuwa mimi kwenye hiyo nafasi yako sijui ingekuwaje yaani. Vile ningeliamsha dudeee.
Shida ni kurudia rudia kosa. Kama ni kosa la kwanza acheni tu nimsamehe husband. Kwanza nilishamsamehe tulishayamalizaPole ndo mjue kuwa mnavofanyia wanawake nao huwa Wana pain na Bora mkeo alikulipiza asingekulipiza isingekuwa na ndoa, nyie wanaume huwa mnatafta sababu za kuumiza wake zenu. Mimi mwanamume Malaya nitamvumilia ka na Mimi ni muhuni ila nikiwa nimetulia anarudia daily hyo tabia loh asubuhi shadai talaka mapema mno.
Shida sio kumsamehe watu twaweza ishi tu na hata tusiye mpenda kusogeza siku, shida huwa ukivunja trust ni shughuli kuirudisha kabisa.Shida ni kurudia rudia kosa. Kama ni kosa la kwanza acheni tu nimsamehe husband. Kwanza nilishamsamehe tulishayamaliza
Utaachana na wangapi? Kumbuka hujaoa au kuolewa na kinyago au kaka/dada yako ambaye mmezaliwa wote na kujuana tabia tangu utotoni. Hii dhana ya talaka nayo ni balaa maana kama ndani ya fikra zako kuna talaka hakuna haja ya kuolewa/kuoaPole ndo mjue kuwa mnavofanyia wanawake nao huwa Wana pain na Bora mkeo alikulipiza asingekulipiza isingekuwa na ndoa, nyie wanaume huwa mnatafta sababu za kuumiza wake zenu. Mimi mwanamume Malaya nitamvumilia ka na Mimi ni muhuni ila nikiwa nimetulia anarudia daily hyo tabia loh asubuhi shadai talaka mapema mno.
Yani Mimi nikichefukwa nafanya maamuzi magumu Tena nikishakuwa na watoto ndo haswa hamu na mtu mhuni inakufa kabisa, Mimi siwezi unafiki kitu kikinichefua to the maximum nafanya maamuzi na sirudii nyuma, tunaolewa tuzae Sasa nimezaa mzima kwanini mtu akwaze roho yangu woooi.Utaachana na wangapi? Kumbuka hujaoa au kuolewa na kinyago au kaka/dada yako ambaye mmezaliwa wote na kujuana tabia tangu utotoni. Hii dhana ya talaka nayo ni balaa maana kama ndani ya fikra zako kuna talaka hakuna haja ya kuolewa/kuoa
Msimamo wa mtu hutegemea wakati, umri na mazingira yanayomzunguka kwa wakati huo. Huo mtizamo wako Upo Sawa leo lakini utakuwa tofauti miaka 30 ijayo; amini nakuaelezaYani Mimi nikichefukwa nafanya maamuzi magumu Tena nikishakuwa na watoto ndo haswa hamu na mtu mhuni inakufa kabisa, Mimi siwezi unafiki kitu kikinichefua to the maximum nafanya maamuzi na sirudii nyuma, tunaolewa tuzae Sasa nimezaa mzima kwanini mtu akwaze roho yangu woooi.