Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Ningalikuwa mumeo ningalikupiga mpk uone jinsi Tanzania ilivyoingia uchumi wa kati!!.. kwanini unishambulie bila kuniuliza kwanini nachepuka..?😂
Mama utadumu milele kwenye ndoa yako!. Utapendwa milele. Ni kweli kipigo huwezi kukikwepa. Eti kuamsha dude it seems hawatujui hawa!. Na huwa ukiona mwanamke hakusumbui na amani IPO huwa tunarudi haraka kwenye reli. Lakini ukanyage waya eti kuamsha dude uone cheche zake kwenye macho. Siku moja alipigwa MTU nadhani kwa sasa ni kungwi wa wengine.
 
what for? i dont support kwenda je ya ndoa au kuchepuka ila vurugu za nini? unafikili kabla ya kukuoa alikuwa na wangapi, na wewe hata pengine sio mumeo ambae alikutoa bikira, but all in all hakuna haja ya vurugu, its both a sin before God and man, option ya mtu mume au mke kuchepuka ni moja pekee, DIVORCE period, mimi siku nikioa akichepuka divorce na mimi nitawambia nikichepuka anipe divorce, hakuna hata ya vita, vuugu matusi au nini, muachie huo ambae anachepuka nae awe mke wake au awe mume wake, period, i hope nimeeleweka
Bora tuachaneee~ Lava lava
 
Hivi huwa mnadhani na sisi huko nje hatukutani na watu wanaotupenda ila tunawakatalia japo wanatubamba? Ila nyie mnatembeza tu.
Ukiliangalia situation kwa jicho hilo hutaweza kutulia na mumeo! This kind of thinking makes me think hujampenda kisawasawa huyo mumeo. Aidha uliolewa kutoa gundu na upate sifa tu kuwa una mume!

Ondoa hii akili ya kuwa lazma ushindane na mume maana hutakaa ushinde na utaishia kuachwa tu kwa aibu.
 
Kanuni yangu ni ile ile.
Akichepuka mapenzi yameisha. Na kumwacha wala simwachi ila ni zamu yangu na mimi kutafuta kakijana kawe kananiponza machungu. Wote tuna haki ya kubadilisha ladha.
Ndio maana jamii nyingi za kiafrika walikuwa wanakata hicho kiantena (kin**e**mbe) kukomesha tabia kama hii ya mwanamke kushindana na mwanaume kwenye Sexual desire.
 
Unajipa matumaini kwasababu wewe ndio umeolewa lakini unagamble na maisha yako,kama hutoambukizwa ukimwi(naombe isiwe),utapoteza ndoa yako.Hiko ulichonacho huyo mchepuko ndio anakitaka"NDOA YAKO",haupo salama bidada amkaa...nakuhakikishia atafanya kila hila mpaka akipate,hapo anaeza ajibebeshe mimba makusudi and much worse,god forbid🤞

Unajaribu kutudhirishia kama upo sawa but i can rest assure you upo depressed.Kama unampenda mumeo hasa sio kawaida kuchukulia usaliti poa kama unavyofanya lazima imekuathiri!

Tatizo lipo kwa MUME wako ndio unatakiwa umuweke sawa si mchepuko deal na mumeo.Unajitahidi kumtetea kama ni mume mwema lakini ukweli ni kwamba as long as ametoka nje ya ndoa si mwema.Huruma yako itakuponza!

Ama la wewe ni aina ya mwanamke ambae unaona huwezi jimudu mwenyewe unamtegemea mumeo ndio maana unaona uvumilie tu lakini mwanamke anayejielewa hatovumuilia upuuzi huu.
Sasa utapambana na mwanaume ambaye amegonga nje tu ila anahudumia familia yake vyema. Sometimes huwa mnajitaftiaga mabalaa nyie wenyewe tu. Mtii mumeo na ukae kwa kutulia bidada!

Mwanaume akitimiza majukumu yake kwa ufasaha swala la yeye kuonja wanawake wa nje halikwepeki na mwanaume akiwa na hela ndio hayo hutokea. Kama unataka mwanaume asiyegonga nje tafta wa kusaidiana nae maisha hao ndio huwa wanakabaga papuchi moja tu ila ukitaka wa kuprovide 100% ukae ukijua ata provide hata kwa wenzio pia!

Kila kitu kina gharama zake, ukitaka mwenye hela jua kuna wengi pia wanamtaka soko gumu jamani! The same applies kwetu ukimtaka KE mrefu mweupe mwenye baby face hips na tako guu la haja hapo kuna wakware 100 nao wanafukuzia! Tunda amemtesa sana WHOZU kihisia sio bure sababu ana mvuto ambao kila dume linautamani hivyo kwa demu kama yule kugombania na wenzio ni kawaida.
 
Hizo ndio zinaitwa hasira za mkizi. Yaani utaishia kumtunuku mhuni mmoja kimasihara hivi hivi tu. Na kero itabakia pale pale.

Anyways. Ninavyowafahamu wanawake, kama huna vinasaba vya “wingi” huwezi kuchepuka kirahisi na mtu tu eti kulipa kisasi.

Ikitokea basi ama ulikuwa ni mchezo wako hata kabla au huyo aliyebahatika alikuwa kumtima siku nyingi; kilichokuwa kinasubiriwa ni “push” tu udondokee motoni [emoji23].

Ukitulia utaokoa nyumba yako. Kwa wanaume ngono ni mchezo tu. Mambo yakichemka wanavamia hata mwehu na kumsahau hapo hapo. Kwa wanawake roho inaweza kuhamia huko kabisa. Ndio maana mke akichepuka ni janga! That’s the difference.
Mke akianza biashara ya michepuko ndoa survival rate hushuka toka 90% to 50% real quick na akikamatwa ni drift toka 50% to 0% real quick! Ndoa inaishia hapo
 
Umesema mama zetu walivumilia zama za ujinga hizo sio sikuhizi unavumilia na ngoma huo mfano wako ni irrelevant mie kabila langu wanawake kuzaa nje mtu ni ruksa tu, Sasa mvumilie wako Tena ni huyo umemjua
Si mnasemaga watoto wawe na akili tofauti wasije wote wakawa vilaza ila dhambi kichizi😂😂😂
 
Hahaha dogo kua uyaone
Mi nikushauri tu kiutu uzima, hawa wenzio wengi hawajaolewa humu na wachache wameachika. Ndio maana ni wepesi kukupa ushauri wa kushupaza shingo. Ndoa ni kitu complex zaidi!

Akili ya kumfanyia vurugu mumeo ama kuanza kukigawa nje ili umkomoe ndio itachochea balaa zaidi! Kwa hekima tu hakikisha umemwambia kuwa umefahamu anachofanya huko nje na mipango yake ila unatambua kuwa yeye ni mtu mzima anayejitambua na kuelewa ni nini maana ya muunganiko mlio nao kama familia...Kisha muache hili ahangaike nalo kichwani. Kama wewe sio chanzo cha yeye kuanza kuhangaika nje atajistukia na ataacha straight away ila kama wewe ndie chanzo kwa namna moja ama nyengine basi response inaweza isiwe nzuri.

Ila akili ya kuanza kuachia tobo vijana wajipigie sio akili sahihi we kaa zako tulivu endelea na maisha kama kawaida kisha utaona muelekeo wake kama you treat him right atajirudi bila kelele. Shida ya wake zetu ni mazoea yani unakuwa mdomo mchafu na mvivu kutoa mbususu kwa wakati ndio washua tunaanza saka matundu mengine kitaa.
 
Ya yeye kutokujua ndio nzuri maana unafanya huku ukiendelea kumhukumu juu ya usaliti aliofanya. Anakosa amani nyumbani.
Ubaya mwanamke akihamisha penzi anahamisha na hisia hivyo utashikwa mchana kweupe kabisa! Yale majibu ya shombo utayokuwa unamjibu na kiburi cha kuficha ficha simu na password lukuki na kauli za kuchoka kutoa tunda kila wakati ni redflag kwa wandewa kama mimi ntajua tu ushaanza kutiwa nje!

Ukifikia hapo uwe umeshajiandaa kuhamia kwa huyo bwege nazi wako unayempelekea mbususu! Maana ni eviction notice itakuhusu the moment nimejua tu. Akili ikija kurudi tayari umepoteza 9 yrs marriage kwa hasira za kijinga ukachepuka na boda boda wako 😂 badala ya kutumia approach ya hekima kutafta suluhu ya matatizo ya mumeo!
 
Aisee ukimwambia Kua umeona na umefahamu kila kitu ila unampenda na unamhitaji bado daah katika uchawi namba moja huu ni wa kwanza, maana Jamaa atakuhandle tofauti na awali kabisa na atahitajidi mara zote kukuaminisha Kua anakupenda na ni muaminifu kwako trust me!
Hizi ndio kauli za kumfikirisha msela, they are not offensive but they are tactical!

Au aseme ameona na amefahamu ila yeye na mwanae bado wanahitaji sana furaha ya kuwa na baba wa familia anaewathamini wasingependa kuona hilo linafikia ukomo au wanapitia katika wakati mgumu katika namna yeyote ile atafakari juu ya dhamira ya muungano wao kama familia. Kama kuna changamoto zozote ni muda muafaka wa kuzitatua.

Hapa hata kama uwe kidume vipi lazma utepete.
 
Me niliwai haki simu ya mke wangu baada ya kuona mabadiliko ghafla nikakuta anachati sana na wanaume nikamuliza akaleta jeuri nikapasua simu yake nikavunja laini nikamfukuzia kwao tangu mwaka 2018 na sijamrudisha mpaka sasa na nina mtoto nae mmoja wa miaka 5.saivi nakula maisha tu apa
Hahahahah na katika hilo kundi kuna mmoja alikuwa anamgonga bila shaka
 
Nimecheka sana mkuu. Sasa ntafanyejee ndo kufa na kuzikana tenaa. Kwa ushahudi wa wanaume humu hakuna asiechepuka au tuseme wengi ni wahanga
Sema ukiwa na mentality hii huwezi teseka na ndoa! Amini kuwa mumeo anachepuka au akipata chance atachepuka in the same manner mnaamini yesu atarudi😂

Utaishi kwa amani sana yani, yeye agonge nje akirudi ndani ni wako huyo. Hata hivyo we ndio una muda mwingi nae sasa shida iko wapi na anakuhudumia we na mwano katika kila hali.

Sasa wenzio wanataka kuweka u selfish katika hii asili yetu madume! Jike likiwa kwenye territory ya kidume linatakiwa litulie nae lisigongwe nje na hii ndio asili hata kwa wanyama! Ila dume linaweza kuwa na majike zaidi ya moja kwenye territory its just natural!
 
Lazima nyumba iwake moto atambue ana mke. Nawasha moto mpaka nguvu zake za kiume zipungue ndio nauzima halafu na mimi natafuta miongoni mwa wale wanaonipendaga ila nawakataliaga kwa sababu naheshimu ndoa namkubalia mmoja. Hapo nyumbani amani ni shwariii.
Hahahahah halafu mumeo unaendelea kumhudumia kama kawaida au ndio unaanza “hebu niache bana”...”huoni mtu amechoka au”...”Ntakupa asubuhi”...”Nikilala staki usumbufu” 😂😂😂 wanawake kmnnr kabisa! Hapo kidume unajua kabisa kuna mtu anachezea utelezi wa mkeo.
 
Kanuni yangu ni ile ile.
Akichepuka mapenzi yameisha. Na kumwacha wala simwachi ila ni zamu yangu na mimi kutafuta kakijana kawe kananiponza machungu. Wote tuna haki ya kubadilisha ladha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom