Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 3,118
- 4,238
Ilipofika muda wa kupiga picha kuna wengine walikuwa kando wakawa wanajisogeza kwenda kujumuika kwenye picha akiwemo yule mshereheshaji wa mradi (sina hakika kuna aliyekuwa akiwaita au laa). Wote hao wamekuja kwa kuchelewa kidogo lakini hawajakutana na kizuizi.
Ajabu ni kwamba kuna watu kama watatu hivi ambao walisimama mapema kabisa kwenye sehemu ya picha tena kwa adabu zote lakini wakaondolewa fasta! Mambo ya itifaki kama ni hivyo basi magumu sana aisee. Muwe na wakati mwema