Nimemuonesha mke wangu wanawake wanaojiuza ili ajue thamani yake

Ningekuwa Mimi ningekwambia niache ukaoe hao wajinga, na ningekupa kichambo kuwa hunitishi nakutana na wanaume pia tofauti tofauti, marriage sio favor aisee
Exactly.. he made t seem like a favor kumuoa. Sio kwamba wote wanahitajiana.
Wanaume sometimes muwe mnafikiria the other side of a shilling kabla ya kufanya vimbwanga ka ivo.
M sure somehow ame-damage feelings za mkewe.
 
Kwakwel, kiaina kavile amemtishia, ukizingatia hawajawah kua na ugomvi mkubwa wowote..
Binafsi ningepotezea pale ila moyoni ningekua najiuliza uyu kwani imekuaje mpaka kukumbushwa?
Feels almost like a favor kumuoa akati kampenda mwenyewe..
Yan hapo siku wakikosana kidogo alaf akachelewa kurudi home ajue mke wake atajua amepita kwa makahaba kupunguza asira
 
Swaumu mjini ni mtihani sana, nimetulia kituoni huku kimvua kikinyunyuza nasubiri daladala, mara kashuka demu wa kiwango cha SGR akanisogelea akanisabahi nikamwitikia, akaniuliza " eti samahani kaka flamingo lodge ipo wapi" kiunyonge nikamwoneshea kwa kidole...😰😰😰
Mtihani mkubwa huu.
 
Nimecheka sana Mkuu.
 
Ningekuwa Mimi ningekwambia niache ukaoe hao wajinga, na ningekupa kichambo kuwa hunitishi nakutana na wanaume pia tofauti tofauti, marriage sio favor aisee
Wewe umekaa kikorofi korofi kama Mkewangu Mkuu! Yaani nikitaka kumwambia au kumshirikisha jambo lolote lazima nijiulize mara mbili mbili maana hakawii kuliamsha dude!
 
Mimi ni msikivu na mwelewa ila kwa Mambo ya kijinga ka ya huyu mleta mada si support kwa kweli. Kwa Mambo ya msingi Niko proactive ku support upesi upesi
 
Mbona umetema nyongo !!??
yy kamzungumzia mkewe na tabia nzuri ya mkewe....
Ilikuwa mtazamo tu nikajitolea mfano, na mleta mada asingetaka tukomenti tofauti asingeanzisha Uzi as long kaweka public acha tutoe povu tu hamna namna
 
Exactly.. he made t seem like a favor kumuoa. Sio kwamba wote wanahitajiana.
Wanaume sometimes muwe mnafikiria the other side of a shilling kabla ya kufanya vimbwanga ka ivo.
M sure somehow ame-damage feelings za mkewe.
He is smart hubby at all, huyo mke wake inaonyesha ni mama wa nyumbani Hana kipato wallah, unamfanyiaje mkewe hvo kisa anakutegemea, Yani yeye anajiona Mungu kumuoa mkewe as if yeye ni oksigeni bana. Mleta mada bado ana utoto marriage should be win win situation na sio favor
 
Back
Top Bottom