Nimemuonesha mke wangu wanawake wanaojiuza ili ajue thamani yake

Nimemuonesha mke wangu wanawake wanaojiuza ili ajue thamani yake

Uko katika anniversary ya mvunjiko wa ndoa kuwa makini. Miaka inayokuja ndio ndoa huwa zinavunjika hata kwa sababu za kijinga.

Mkifikia stage ya sura zenu kujikunja miaka kama 50 ya ndoa mnapaswa kujipongeza maana wakati huo mapenzi huwa shatashata.
 
Swaumu mjini ni mtihani sana, nimetulia kituoni huku kimvua kikinyunyuza nasubiri daladala, mara kashuka demu wa kiwango cha SGR akanisogelea akanisabahi nikamwitikia, akaniuliza " eti samahani kaka flamingo lodge ipo wapi" kiunyonge nikamwoneshea kwa kidole...😰😰😰
UNGEMWAMBIA SIIJUI MIMI
 
Jamaa ana makosa yake ila pia wanawake mnaomshambulia huku nanyi mkiwachukulia wale wa barabarani kama sio wanawake wenzenu mna tatizo, kifupi mnajipa Value ambayo inawezekana hamna pia.

Kujiuza hata ambao hawajipangi barabarani mnajiuza tena nyie kiunafiki, kwa shida hzo hizo na wengine wa bei rahis na bila kinga kabsa, bora hao wana ujasiri na principles..

While approach ya mleta mada ina kasoro, point tangu kwenu ni kuwa hao mnaoona malaya, wanaume wanaweza kuona vitu unique kwao na kuwaoa pia, mifano ipo mingi tu.

In short mkewe ana shida, sio kisa ni mama wa nyumban, atakuwa anashida ambayo mleta mada hajataka kuitaja jukwaani kwa kumheshimu mkewe ila alitaka kumwonesha kuwa asijione wa kipekee sana bahati mbaya ndo katumia approach mbaya.
Kimeumana

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi tungeachana jana jana baada ya kufanya hivyo. Umefanya as if kumuoa ni kumuonea huruma au kitu kama hicho.
😂 kuwaoa ni kuwaonea huruma ndio mana ukiolewa wazazi wako watakushukuru kwa kuwaheshimisha,
 
Back
Top Bottom