lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Mkuu we we ni muongo hakuna ndoa muishi miaka mitano chini ya jua eti hamjawahi kukwaruzana huo ni uongo...tena mtakatifu uliza hii kitu kwa wanandoa humu ndani....lazima kuna vimigogoro vya hapa na pale kuichangamsha ndoa kama hakuna kabisa basi mna matatizo.