Jamaa ana makosa yake ila pia wanawake mnaomshambulia huku nanyi mkiwachukulia wale wa barabarani kama sio wanawake wenzenu mna tatizo, kifupi mnajipa Value ambayo inawezekana hamna pia.
Kujiuza hata ambao hawajipangi barabarani mnajiuza tena nyie kiunafiki, kwa shida hzo hizo na wengine wa bei rahis na bila kinga kabsa, bora hao wana ujasiri na principles..
While approach ya mleta mada ina kasoro, point tangu kwenu ni kuwa hao mnaoona malaya, wanaume wanaweza kuona vitu unique kwao na kuwaoa pia, mifano ipo mingi tu.
In short mkewe ana shida, sio kisa ni mama wa nyumban, atakuwa anashida ambayo mleta mada hajataka kuitaja jukwaani kwa kumheshimu mkewe ila alitaka kumwonesha kuwa asijione wa kipekee sana bahati mbaya ndo katumia approach mbaya.