Nimemuonesha mke wangu wanawake wanaojiuza ili ajue thamani yake

Nimemuonesha mke wangu wanawake wanaojiuza ili ajue thamani yake

Jamaa umezingua,, kwan hyo mke wako ulimchagua kutoka kwenye hilo kundi la makahaba ndo ukamuoa? Ulichofanya sio sawa! Sema huyo mke anakuogopa sana, mwanamke mwingine mngeachana hapohapo!
 
Take IT easy YOUNG fella.If only the complex was so simple.Imagine wale wanaojiuza pale ni wake za watu,wachumba za watu na mama za watu.The utaelewa kwamba IT is not THAT simple.

All in all.Ramadhan Kareem.Swaumu Njema.Take Good of Yourself and Your wife.
 
Ningekuwa Mimi ningekwambia niache ukaoe hao wajinga, na ningekupa kichambo kuwa hunitishi nakutana na wanaume pia tofauti tofauti, marriage sio favor aisee
I think wewe ndo mjinga mwenye akili kuliko wote(no offence meant).Marrying some one is not a favor.He should know that.
 
Labda siyo wa sinza XX
Wanamfahamu Mkeo au walijua unatafuta wa three some.BY the way hio sio namna ya kuthibitisha kwamba unampenda mkeo.Umepotea sana.Kama hukumtoa bikra wewe then she is just a retire hoe.So learn to respect women.We need them as hoes and as wives.After all.
 
Sasa hivi mkeo anaanza kuwaza wewe humuamini au wewe ni dhaifu amini umepunguza asilimia kadhaa za yeye kukuona wewe mwanaume.

Saizi mkeo anawaza umejuaje vichochoro vya Ambiance, umejuaje bei zao aisee mkeo ajachukulia poa ilo tukio anasubiri tu ripoti ya CAG achukue maamuzi

Inauma ila ndio ukweli umemtengenezea mkeo sababu yakukuchukulia poa. Akiliwa utakuja lalamika huku wakati chanzo ni wewe.
 
Aisee,kweli mtegemea cha ndugu....kwani huyo dada hana mvuto kabisa wa kuolewa na bwana mwingine mfano wewe ukimkacha? Maana daa.
 
Swaumu mjini ni mtihani sana, nimetulia kituoni huku kimvua kikinyunyuza nasubiri daladala, mara kashuka demu wa kiwango cha SGR akanisogelea akanisabahi nikamwitikia, akaniuliza " eti samahani kaka flamingo lodge ipo wapi" kiunyonge nikamwoneshea kwa kidole...😰😰😰
Acha tuu hichi kipindi huwa na mitihani.ata ela utaona unazipata sana ila ndo huwez kufanyia ujinga uliouzoea
 
Mkuu, ulifanya jambo la kitoto sana.ni aibu kulileta hapa...kama ingemgusa shem unavyodai..angelileta hapa mwenyewe....

Naamini haukumuoa kwakuwa alikuridhisha...ni kosa kufananisha mkeo hata na x wako...ulimkosea sana.

Kamabuna miaka zaidi ya 35 basi IQ yako iko below average.
Kisha unajiita great thinker...
Natanguliza samahani...

Habari,
kumekuwa na mijadala mingi sana ya kuhusu ndoa humu ndani na wengi wakiwa wanalalamika kuhusu wake zao kuchapiwa/usaliti/mateso na changamoto mbali mbali za ndoa.

Kwa upande wangu,nmeoa mwanamke mzuri i mean kwenye kila sekta tabia sura na hata matendo na tupo kwenye ndoa mwaka wa 5 sasa lakini hatukuwahi kugombana wala kufanyiana mambo ya ajabu.

Kutokana na thread nyingi zilizokuwa zinakuja humu JF jana nikaamua kufanya yafuatayo.

Kwenye saa 7 mchana nikampigia simu mke wangu kuwa leo asipike ftari badala yake tutaenda kula ftari hotelini alifurahi sababu huwa namfanyia mara nyingi out za kula.

Kwenye saa 11 nikampitia na kumpeleka sehemu tukapata ftari then kuna sehemu tukapitia mpaka mida ya saa 6 usiku tukiwa njiani kurudi akiwa na furaha kama kawaida yake.

Nikapita na gari mpaka Sinza X ni mitaa ambayo huwa mida hiyo kuna malaya wa kila aina tena mpaka wa elf 10, nikapaki gari kati kati yao then nikafungua vioo vyote,walivyoona gari wakaizunguka na kuanza kutaja offer yao tena mbele ya wife.

Mke wangu akabakia tu kustaajabu,mie nkaondoa gari mpaka Shekilango nikapaki gari then nikamwambia kuwa wale unaowaona pale kuna wengine ni wazuri tena kushinda wewe lakini biashara wanayoifanya mwanaume anaweza kuwa na elf 20 akamlala na hata mimi kwa kipato changu naweza kubadilisha kila siku ndani ya mwaka mzima lakini nimewaaacha wote na kuja kukuoa wewe na kukuweka ndani kama mke wangu.

Aliniangalia tu huku akitabasamu na kunikumbatia na kunambia nakupenda mme wangu na mengine yakaendelea.

Lengo la kuleta uzi huu ni kuwakumbusha wanaume au wanawake ambao wapo ndani ya ndoa kujitahidi kuonyesha kwa waume au wake zao thamani waliyonayo kwao mpaka wakachukua jukumu zito la kuacha wote na kuja kukubali kuishi nawe milele ukimuwin kwa hilo mwenzio hakika ndoa utaiona tamu

Ramadhani Kareem
 
Kuchapiwa hakuna solution.

Uwe na hela, uwe na mtwangio mkubwa, uwe na tako kubwa, uwe mzuri, au uwe na vyote kwa pamoja KUCHAPIWA HAKUEPUKIKI
 
Back
Top Bottom