Exactly.. he made t seem like a favor kumuoa. Sio kwamba wote wanahitajiana.Ningekuwa Mimi ningekwambia niache ukaoe hao wajinga, na ningekupa kichambo kuwa hunitishi nakutana na wanaume pia tofauti tofauti, marriage sio favor aisee
Yan hapo siku wakikosana kidogo alaf akachelewa kurudi home ajue mke wake atajua amepita kwa makahaba kupunguza asiraKwakwel, kiaina kavile amemtishia, ukizingatia hawajawah kua na ugomvi mkubwa wowote..
Binafsi ningepotezea pale ila moyoni ningekua najiuliza uyu kwani imekuaje mpaka kukumbushwa?
Feels almost like a favor kumuoa akati kampenda mwenyewe..
Mtihani mkubwa huu.Swaumu mjini ni mtihani sana, nimetulia kituoni huku kimvua kikinyunyuza nasubiri daladala, mara kashuka demu wa kiwango cha SGR akanisogelea akanisabahi nikamwitikia, akaniuliza " eti samahani kaka flamingo lodge ipo wapi" kiunyonge nikamwoneshea kwa kidole...😰😰😰
Leo tunamaliza cha sita."chungu chatano"
Nimecheka sana Mkuu.Swaumu mjini ni mtihani sana, nimetulia kituoni huku kimvua kikinyunyuza nasubiri daladala, mara kashuka demu wa kiwango cha SGR akanisogelea akanisabahi nikamwitikia, akaniuliza " eti samahani kaka flamingo lodge ipo wapi" kiunyonge nikamwoneshea kwa kidole...😰😰😰
Mbona umetema nyongo !!??Ningekuwa Mimi ningekwambia niache ukaoe hao wajinga, na ningekupa kichambo kuwa hunitishi nakutana na wanaume pia tofauti tofauti, marriage sio favor aisee
Wewe umekaa kikorofi korofi kama Mkewangu Mkuu! Yaani nikitaka kumwambia au kumshirikisha jambo lolote lazima nijiulize mara mbili mbili maana hakawii kuliamsha dude!Ningekuwa Mimi ningekwambia niache ukaoe hao wajinga, na ningekupa kichambo kuwa hunitishi nakutana na wanaume pia tofauti tofauti, marriage sio favor aisee
Mimi ni msikivu na mwelewa ila kwa Mambo ya kijinga ka ya huyu mleta mada si support kwa kweli. Kwa Mambo ya msingi Niko proactive ku support upesi upesiWewe umekaa kikorofi korofi kama Mkewangu Mkuu! Yaani nikitaka kumwambia au kumshirikisha jambo lolote lazima nijiulize mara mbili mbili maana hakawii kuliamsha dude!
Kujua sio issue Mkuu, humu JF kuna Uzi umetaja sehemu zote na bei elekezi...Kiukweli nimeshangaa sana, na huyo mkewe hajiulizi mbona vichochoro vya wanaojiuza mumewe anavijua na bei zao? mweeeeehhhhhh
Ilikuwa mtazamo tu nikajitolea mfano, na mleta mada asingetaka tukomenti tofauti asingeanzisha Uzi as long kaweka public acha tutoe povu tu hamna namnaMbona umetema nyongo !!??
yy kamzungumzia mkewe na tabia nzuri ya mkewe....
He is smart hubby at all, huyo mke wake inaonyesha ni mama wa nyumbani Hana kipato wallah, unamfanyiaje mkewe hvo kisa anakutegemea, Yani yeye anajiona Mungu kumuoa mkewe as if yeye ni oksigeni bana. Mleta mada bado ana utoto marriage should be win win situation na sio favorExactly.. he made t seem like a favor kumuoa. Sio kwamba wote wanahitajiana.
Wanaume sometimes muwe mnafikiria the other side of a shilling kabla ya kufanya vimbwanga ka ivo.
M sure somehow ame-damage feelings za mkewe.
Ila huyu nae sio, kwamba unamchukua mke moja mbili moja mbili hadi kwa wauza kyumaa kumwambia hayo?!!!🙄Kujua sio issue Mkuu, humu JF kuna Uzi umetaja sehemu zote na bei elekezi...
Hoja ni kwamba angeweza kufikisha ujumbe wake bila kumpeleka wife "mbugani" cc Evelyn Salt