Nimemuonesha mke wangu wanawake wanaojiuza ili ajue thamani yake

🤣 🤣 🤣 🤣 kweli mkuu, kajisemea Mboto. Swaumu mjini inataka moyo, majaribu kila kona. Wkati kijijini unakutana na ndezi tu na ngedere
 
Hii habari alishawahi kuniambia makofia mwaka 2007 julisha kama wewe ni makofia?
 
Unaonaje tukimtafuna mkeo ili ujue kuwa wewe si chochote kwake?
 
Hapo na wewe unajiona umemuweza na unamfahamu mwanamke na ndoa?. Bado hujamfahamu mwanamke anaeitwa mwanamke. Unamfahamu mwanamke kwa upande wa mbele tu. Nasisitiza bado na huji kumfahamu mwanamke. Siku ukimfahamu utakuwa umechelewa ndio siku ya kufa
Fafanua
 
Kwakwel, kiaina kavile amemtishia, ukizingatia hawajawah kua na ugomvi mkubwa wowote..
Binafsi ningepotezea pale ila moyoni ningekua najiuliza uyu kwani imekuaje mpaka kukumbushwa?
Feels almost like a favor kumuoa akati kampenda mwenyewe..
Kupendwa wanapendwa wengi ila wanaishia kugegedwa tu bila ndoa! Hivyo ukimuona mtu kajitwisha zigo usimletee ya kuleta! Muheshimu I see, ohoooh😜!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…