Nimemuonesha mke wangu wanawake wanaojiuza ili ajue thamani yake

Uko katika anniversary ya mvunjiko wa ndoa kuwa makini. Miaka inayokuja ndio ndoa huwa zinavunjika hata kwa sababu za kijinga.

Mkifikia stage ya sura zenu kujikunja miaka kama 50 ya ndoa mnapaswa kujipongeza maana wakati huo mapenzi huwa shatashata.
 
UNGEMWAMBIA SIIJUI MIMI
 
Kimeumana

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi tungeachana jana jana baada ya kufanya hivyo. Umefanya as if kumuoa ni kumuonea huruma au kitu kama hicho.
πŸ˜‚ kuwaoa ni kuwaonea huruma ndio mana ukiolewa wazazi wako watakushukuru kwa kuwaheshimisha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…