- Thread starter
- #61
Ipi hiyo, mbona siioni?😂😂😂
Namba yake hii hapa, haya endelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipi hiyo, mbona siioni?😂😂😂
Namba yake hii hapa, haya endelea.
Hii mada, ukiwa U15, unaweza kuona kama ya kitoto vilee! Subiri ukue sasa .......WEWE HUJIELEWI, YANI MWANAUME MZIMA UNAKUJA KUANDIKA MADUDU HAPA ILI UPATE NYAPU KWA SYMPATHY?
YANI UNAANDIKA UZI KABSA KISA MWANAMKE AMBAYE HAMJAWAHI KUONANA?
NYIE NDO WANAUME MNAOTAKA SANA KUWA MA “GENTLEMAN” SANA KULIKO KUWA MWANAUME MWENYE MSIMAMO NA KUJIHESHIMU
HUJIELEWI KABSAA
Ahsante kwa kutokea!! Na sitoona shida kuweza kuwa nao zaidi.Kuna watu wana muda
Upo wapi nikuletee maua yako?!!!msikilize huenda ana jambo 😅😅
I'm sorry, ni fadhaa tu ya hiyo ndoto.....you know, hakuna jemedari wa fadhaa!Ungeomba ningekufungulia pm tu hizi habari za kuanikwa hivi sizipendi sana, jtatu na asubuhi yote hii,, aaarrgggh
Kiki?!!!!!!! Nawe unatumia neno hilo?!!!!! This is serious🤨Mluga luga tu huyo, watafuta kiki
HaiwezekaniMwishowe ukutane na papai,hutoamini
Ndo hivyo kiongozi.duh aiseee
SwadaktaaaMfungulie geti aongee kikubwa mama!!
"Siri ya niniiiiii, nini faida yake yooo"Tatizo kadamnasi jamani kila mtu ajue nimeotwa🙄ushamba wa kizamani huu
Nina hakika, nina imani; kipo kama nilivyokiota!Hata hiyo kaipoteza acha aendelee kuota ataacha tu siku akiota akakutana na anachokiota
Aaaah hutoaminHaiwezekani
Oh, mkuu!!!Aise tabia ya kuandika uzi juu ya mwanamke wangu ukome haloo
niko hapa kuyapokea kwa mikono miwili 🤗Upo wapi nikuletee maua yako?!!!
Wewe huyo sio? Na leo uniote tena ila sio kunianzishia uziKiki?!!!!!!! Nawe unatumia neno hilo?!!!!! This is serious🤨
Uluga luga usikutishe, unaweza ukautumia vizuri hadi ukajuta kwanini hukuujua mapema.
Shauri yakoNina hakika, nina imani; kipo kama nilivyokiota!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ota unanipa hela kisha ndoto hiyo itimie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nifungulie mimi basi hiyo PM ambae sijakuanika kua eti nimekuota.Ungeomba ningekufungulia pm tu hizi habari za kuanikwa hivi sizipendi sana, jtatu na asubuhi yote hii,, aaarrgggh