Nimemuota Kapeace, naomba msaada!

Nimemuota Kapeace, naomba msaada!

WEWE HUJIELEWI, YANI MWANAUME MZIMA UNAKUJA KUANDIKA MADUDU HAPA ILI UPATE NYAPU KWA SYMPATHY?

YANI UNAANDIKA UZI KABSA KISA MWANAMKE AMBAYE HAMJAWAHI KUONANA?

NYIE NDO WANAUME MNAOTAKA SANA KUWA MA “GENTLEMAN” SANA KULIKO KUWA MWANAUME MWENYE MSIMAMO NA KUJIHESHIMU


HUJIELEWI KABSAA
Hii mada, ukiwa U15, unaweza kuona kama ya kitoto vilee! Subiri ukue sasa .......
 
Ungeomba ningekufungulia pm tu hizi habari za kuanikwa hivi sizipendi sana, jtatu na asubuhi yote hii,, aaarrgggh
I'm sorry, ni fadhaa tu ya hiyo ndoto.....you know, hakuna jemedari wa fadhaa!
 
Mluga luga tu huyo, watafuta kiki
Kiki?!!!!!!! Nawe unatumia neno hilo?!!!!! This is serious🤨

Uluga luga usikutishe, unaweza ukautumia vizuri hadi ukajuta kwanini hukuujua mapema.
 
Back
Top Bottom