Nimemuota Kapeace, naomba msaada!

Nimemuota Kapeace, naomba msaada!

For God's sake, we ni me au ke?!!!! Tuanze hapo kwanza.
Leo ota hii mistari ya Prof Jizze..

Prof j : Dada habari, samahani naomba nikuulize swali

Shangingi : Eh maskini hii ngoma ghali eh

Prof J : Dada mbona mkali

Shangingi : Wee Kinyago kubali yaishe
 
Ngoja nikusahihishe haujui kua hii PIN vijana tuliitumia kutongoza na tulipata zali na tukala tunda, niitumia hii PIN kumtongoza somebody X na akajaa

Unaanza hivi

Naamka asubuhi niko chwiri tena mapema
Nautoa mkeka sakafuni kisha naukunja vema
Nawaza nitakula nini mentali kisha naguna
Naanza kujikongoja kichwa chini mikono nyuma

Naelekea kilingeni nilikopaki mkokoteni
Nasaga na rumba kimshazali nyie acheni
Nawapa hi machizi wananipa peace tunafurahi
Tunapiga stori nyingi wallahi bila maslah

Mara napata zali napeleka kago uswahili
Wananipa buku mbili danga chee nazisunda chini
Wakati natoka huku kijasho chembamba kikinitoka
Nikaona toto ya nguvu nikajikuta nimeropoka

"Dada habari samahani naomba niulize swali"
Akajibu "Maskini koma tafadhali hii ngoma ya ghali"
"Ehee unajua dada-"
"We vipi hebu nipishe!"
"Dada mbona mkali?"
"Wee kinyago, kubali yaishe"

Nikasema inshallah sawa hiyo yote kwa sababu ya fukara
Nisije nikakubaka nitupwe selo nikawe kafara
Nikaachana nae sehemu za nyuma akizitingisha
Nilikula kwa macho hadhi yangu haikuridhisha

Nageuza mkokoteni nakuelekea maskani
Nikawapa stori machizi wakanicheka ikawa utani
Siku moja nililemaa maskani sikuwa na tenda
Na nilikuwa nikitafakari ni vipi siku itakwenda

Kumbe kuna gari ilikuja na kupaki karibu yangu
Sikuweza kuisikia labda sababu ya njaa yangu
Nilishtushwa ghafla na mlio mkali wa honi
Nilipatwa na mshtuko na hofu kubwa moyoni

Kuangalia pembeni ilikuwa imepaki Toyota Surf
Kulikuwa na sura ngeni ya malaika akaomba tafu
Nilisita kunyanyuka kwa sababu nilikuwa mchafu
Na alitoa elfu kumi na alikuwa akitaka dafu

Nilipokea hela alichotaka nilimletea, akakipokea
Tabasamu zito akanitolea nilimpa chenji
"Ohh no keep change, una mawazo mengi itakufariji weekend"

Alikunywa maji ya dafu alitupa na kunikonyeza
Niliganda kama nyamafu nikahisi alinibeza
Alinipa busu la huba shavuni akanichombeza
"I love you" akawasha gari akateleza
 
Nakubali mkuu, umetisha 👏🏾
 
Hata mimi ilishawahi tokea kisa maongezi baina yake na mimi na most reason behind ilikua ni profile avatar yake[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtajeeee harakaaa sanaaa.
 
Back
Top Bottom