Nimemuota member wa JF mara mbili

Nimemuota member wa JF mara mbili

Pole sana, prondo atakuwa kwenye honey moon visiwa vya comoro saiz
 
Jana usiku nimeota ndoto ya ajabu sana. Yaani nimeota nikashtuka nikanywa maji ,nikarudi kulala nikaiota tena

Eti nimemuota RRONDO ameoa. Kaja kwangu kunionesha picha za mkewe. Dada mweusi ana nywele nzuri kweli. akaniambia ni wife huyu yupo Arusha huko akija nitakuletea.
Mkuu umeoa kweli ?
Hii ndotoilikuacha salama kweli ,
 
Mkuu Rrondo tueleze kinachojiri katika maisha yako, juzi ulitamani mtoto leo kumbe hata dada zako umetunyima chereko chereko
 
Back
Top Bottom