sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Kama ni sumu PM kuna maziwa miss[emoji23]sio kwenye fumanizi bna.mume wa mtu sumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni sumu PM kuna maziwa miss[emoji23]sio kwenye fumanizi bna.mume wa mtu sumu
Hahahaha sijui kama atakuja kuota tenaNdoto ilimfanya mtu akae selo
Hii ndotoilikuacha salama kweli ,Jana usiku nimeota ndoto ya ajabu sana. Yaani nimeota nikashtuka nikanywa maji ,nikarudi kulala nikaiota tena
Eti nimemuota RRONDO ameoa. Kaja kwangu kunionesha picha za mkewe. Dada mweusi ana nywele nzuri kweli. akaniambia ni wife huyu yupo Arusha huko akija nitakuletea.
Mkuu umeoa kweli ?
nikipenda huwa napenda kweliNaomba talaka yangu.
Hata talaka hutoinikipenda huwa napenda kweli
mapenzi yana run dunia
huyu jamaa kumbe mchoyo sana yaaniMkuu Rrondo tueleze kinajiri katika maisha yako, juzi ulitamani mtoto leo kumbe hata dada zako ulitunyima chereko chereko
aisee kaoa kweli? nataka nimtumie zawadiPole sana, prondo atakuwa kwenye honey moon visiwa vya comoro saiz
Ndo ivo, wee njoo nikuoe mimiaisee kaoa kweli? nataka nimtumie zawadi
aya nakuja andaa mkekaNdo ivo, wee njoo nikuoe mimi
i think i have lucky to have herIsn't she lucky