sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwakweli huwa siamini kabisa kwenye mambo ya kupiga mwanamke ambae nimemzidi nguvu by far.
Kuna binti nimemuoa sasa kuna vijitabia vimekuwa kiburi ambacho kilianza kama masikhara ila sana kinazidi.
Sasa tangu nianze kumkanya, mabishano yamekuwa mengi, nikiongea neno moja kwa sauri ya chini kujaribu kumwelewesha yeye ashaongea maneno kumi kwa sauti tena ya shombo.
Kero hii sijawai kumwambia mama yake ila kwavile kuna ndugu yake moja tunaishi nae nahisi ndio kafikisha hio habari kimya kimya,
Jana mama mkwe kaniambia wazi kwamba bila kumtandika mwanae katu hawezi kuja kuniheshimu kama mwanaume, kaniasa namuendekeza sana mwanae kunipanda kichwa, Kanipa msisitizo kwamba akijaribu tena kuinua mdomo ruksa nimchape makofi.
Je ni sawa kumpiga mwanamke ? hakuna njia nyingine ?