Nimemvumilia sana mke wangu kwa tabia zake mbovu, mama yake kanipa makavu kwamba bila kipigo siwezi kuheshimika, haya mawazo yake ni sawa?

Nimemvumilia sana mke wangu kwa tabia zake mbovu, mama yake kanipa makavu kwamba bila kipigo siwezi kuheshimika, haya mawazo yake ni sawa?

Kiasili wanawake wanajisikia amani wakiwa na mwanaume dikteta au primitives kichaa. Wanajisikia furaha kukandamizwa, wanaume diplomatic wengi ndoa zao zina shida wake zao hawana utii tofauti na wanaume primitives yaani dakika sifuri ngumi, kofi
Ushauri wako ni practicap kabisa. Naunga mkono hoja!!
 
Pana makabila Mwanamke kama hana kovu mme wake anadharaulika
 
 Jaribu kumtishia kwa vitendo ...mrudishe kwao then uone anasemaje huku ukiwa huna nia ya kumwacha kweli
 
Unchoomba ushauri ni nini sasa na ushashauriwa....Inakoelekea huyo mwanamke bado kukutandika wewe makofi.
 
Ka anakujibu na kutokukuheshimu inaonyesha humzibui sikio la chini vizuri Sasa subiria akuletee watoto wa boda boda nje
 
Kwakweli huwa siamini kabisa kwenye mambo ya kupiga mwanamke ambae nimemzidi nguvu by far.

Kuna binti nimemuoa sasa kuna vijitabia vimekuwa kiburi ambacho kilianza kama masikhara ila sana kinazidi.

Sasa tangu nianze kumkanya, mabishano yamekuwa mengi, nikiongea neno moja kwa sauri ya chini kujaribu kumwelewesha yeye ashaongea maneno kumi kwa sauti tena ya shombo.

Kero hii sijawai kumwambia mama yake ila kwavile kuna ndugu yake moja tunaishi nae nahisi ndio kafikisha hio habari kimya kimya,

Jana mama mkwe kaniambia wazi kwamba bila kumtandika mwanae katu hawezi kuja kuniheshimu kama mwanaume, kaniasa namuendekeza sana mwanae kunipanda kichwa, Kanipa msisitizo kwamba akijaribu tena kuinua mdomo ruksa nimchape makofi.


Je ni sawa kumpiga mwanamke ? hakuna njia nyingine ?
Muachane Kwa AMANI t atakua keshapataa kibenteni nje uyo ukipiga utauaa utaenda kufugwaa mwenyewe
 
Ka anakujibu na kutokukuheshimu inaonyesha humzibui sikio la chini vizuri Sasa subiria akuletee watoto wa boda boda nje
Sikio la chini lina uhusiano gani n kutokuheshimu tena jamani
 
Wanaume tumebakia wachache mnooo. Wavulana mko wengi mnooo
 
Kuigegeda mbususu mpaka iombe poo, anayegegedwa vizuri hata kugombana Huwa hamna
Duh! Sasa mie mzee wa dakika mbili chali na sijui kugegeda sii bora nisioe tuu lah sivyo nitajikuta nafukewa na wife tuu 🤣🤣🤣🤣🤣
Lakini kwa nini sasa mnabaniaga mbususu ndani ya ndoa
 
Duh! Sasa mie mzee wa dakika mbili chali na sijui kugegeda sii bora nisioe tuu lah sivyo nitajikuta nafukewa na wife tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini kwa nini sasa mnabaniaga mbususu ndani ya ndoa
Unafikiria dakika ndio sababu hata ikiwa sekunde 30 Huwa tinaangalia upendo na kusikilizwa zaidi basi. So oa usiogope kabisa.
Kwenye ndoa ni vile wanawake vikero vidogo dogo hututoa kwenye mood na hamu kuisha. Ukitaka upewe Hadi uchoke usimkere kere hovyo mkeo wanawake tunapenda vitu vidogo na kubembelezwa ndio tunafurahi
 
Back
Top Bottom