Nimemvumilia sana mke wangu kwa tabia zake mbovu, mama yake kanipa makavu kwamba bila kipigo siwezi kuheshimika, haya mawazo yake ni sawa?

Mwanamke yeyeto asiye na heshima kwa mume wake hata mzazi wake hawezi kumpa heshima yake. Na anakuwa hana heri duniani. Maandiko yanasema waheshimu wazazi wako upake heri na baraka tele duniani
Mwanaume akiwa kichwa ndani kinachojua kuongoza hawezi kosa kuheshimiwa, lakini ukiwa zoba zebe lazima iwe hivyo, Mme anakaa na mkewe siku mzima ndani kama yake hata sauti kama kuna mwanaume ndani hakuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama mama yake alishindwa kumyoosha je wewe utaweza?
Mzazi anamlea mtoto vibaya then mzigo wa malezi mabovu akabebe mwingine wakati aliyemlea vibaya kakunja nne kijijini hii ni SAwa kweli?
Mkuu
Mama atachapa wakiwa wadogo
Ila kwa wasichana wanajiona wote ni wanawake pindi wanapovunja ungo

Wasichana wengi na asilimia kubwa huwa wanawajibu mama zao bila heshima

Na kama baba hayupo au kafariki
Mama akaleta mwanaume mwingine chances za msichana hata kumchukulia mme ni sawa kwao

Ila kwa Wavulana abadan hawezi kuvunja heshima kiasi hicho hata kumjibu Mama yake mzazi
Nimeona mengi sana kwa umri huu
 


jalada la nini mkuu amzibue kidgo. unamzibua then unamuomba msamaa mkiwa hosptal ila hatarudia tena.
 
Kutokuwa na heshima ni matokeo ya malezi mabovu, mwanamke mwenye malezi umpa heshima mme wake Ili watoto wake wasiige tabia mbovu, nao kesho wakashindikana kwenye ndoa zao
 

Nilikuwa kama ww, siamini katika kumpiga mwanamke, kichaa kikaanz akumpanda taratibu ndio siku nilipochoka nikajikuta nashusha dozi , tokea siku hiyo hajawah nijibu hovyo tena
 
Hahaha, awaheshimu wazazi apate miaka mingi na heri duniani. Japo mwanamke mwenzangu na mi nasema ampige tu. Ila kiasi kidogo tu sio vya kutoana alama.
Mwanamke kiburi unamfanyaje sasa maana kashindikana kabisa.
 
Kwani ni lazima umpige si muachane bila kuumizana, maisha sio ya ndoa tu.
Anamsaidia, unataka amuache ili dada wa watu akaharibikiwe zaidi.Kuna watu akili zinapinda..lazima ashtuliwe kidogo....
 
Kuna wanawake wengine bila kipondo heshima haiji. Nina mchepuko nampenda kuliko hata mke wangu ila ndo pasua kichwa hasikii haelewi. Na nlipanga kuvuta jiko ila ni kiburi mbisha na lake ndo sheria
 
Jitahidi kumkojoza mke wako mkuu kitandani...sisi wengine tukirud tunasalimiwa kwa kupigiwa magoti(shikamoo mume wangu)!...kuna rafiki angu mmoja nilirudi nae nyumbani hakuamini kama nasilimiwa shikamoo na mke wangu kwa kupigiwa magoti!
 
USIMPIGE MDHARAU TU TENA KIMYAKIMYA ATAKUHESHIMU HADI UCHANGANYIKIWE
 
nasemaje nasemaje piga makofi hiyo, wa mama wanawafahamu watoto wap vizuri
 
Hahahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…