Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Ushauri wako ni practicap kabisa. Naunga mkono hoja!!Kiasili wanawake wanajisikia amani wakiwa na mwanaume dikteta au primitives kichaa. Wanajisikia furaha kukandamizwa, wanaume diplomatic wengi ndoa zao zina shida wake zao hawana utii tofauti na wanaume primitives yaani dakika sifuri ngumi, kofi
Inategemea na kabila lake piaHahaha, awaheshimu wazazi apate miaka mingi na heri duniani. Japo mwanamke mwenzangu na mi nasema ampige tu. Ila kiasi kidogo tu sio vya kutoana alama.
Ila kama umesoma,unasali,una pesa,una cheo unaanzaje kuwa primitives wa kupiga mkeUshauri wako ni practicap kabisa. Naunga mkono hoja!!
Hiyo ya kutumia vifaa HAPANA.Inategemea na kabila lake pia
Kuna wengine kupiga wanajua ni kutumia panga
Nimecheka kifala😂Tena kofi mpaka akalale huku ukitoa maelekezo kabisa kuwa hakuna kulala na kyupi
Muachane Kwa AMANI t atakua keshapataa kibenteni nje uyo ukipiga utauaa utaenda kufugwaa mwenyeweKwakweli huwa siamini kabisa kwenye mambo ya kupiga mwanamke ambae nimemzidi nguvu by far.
Kuna binti nimemuoa sasa kuna vijitabia vimekuwa kiburi ambacho kilianza kama masikhara ila sana kinazidi.
Sasa tangu nianze kumkanya, mabishano yamekuwa mengi, nikiongea neno moja kwa sauri ya chini kujaribu kumwelewesha yeye ashaongea maneno kumi kwa sauti tena ya shombo.
Kero hii sijawai kumwambia mama yake ila kwavile kuna ndugu yake moja tunaishi nae nahisi ndio kafikisha hio habari kimya kimya,
Jana mama mkwe kaniambia wazi kwamba bila kumtandika mwanae katu hawezi kuja kuniheshimu kama mwanaume, kaniasa namuendekeza sana mwanae kunipanda kichwa, Kanipa msisitizo kwamba akijaribu tena kuinua mdomo ruksa nimchape makofi.
Je ni sawa kumpiga mwanamke ? hakuna njia nyingine ?
🤣🤣🤣🤣 Nakazia ✍️Ka anakujibu na kutokukuheshimu inaonyesha humzibui sikio la chini vizuri Sasa subiria akuletee watoto wa boda boda nje
Sikio la chini lina uhusiano gani n kutokuheshimu tena jamaniKa anakujibu na kutokukuheshimu inaonyesha humzibui sikio la chini vizuri Sasa subiria akuletee watoto wa boda boda nje
Kuigegeda mbususu mpaka iombe poo, anayegegedwa vizuri hata kugombana Huwa hamnaSikio la chini lina uhusiano gani n kutokuheshimu tena jamani
Duh! Sasa mie mzee wa dakika mbili chali na sijui kugegeda sii bora nisioe tuu lah sivyo nitajikuta nafukewa na wife tuu 🤣🤣🤣🤣🤣Kuigegeda mbususu mpaka iombe poo, anayegegedwa vizuri hata kugombana Huwa hamna
Unafikiria dakika ndio sababu hata ikiwa sekunde 30 Huwa tinaangalia upendo na kusikilizwa zaidi basi. So oa usiogope kabisa.Duh! Sasa mie mzee wa dakika mbili chali na sijui kugegeda sii bora nisioe tuu lah sivyo nitajikuta nafukewa na wife tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini kwa nini sasa mnabaniaga mbususu ndani ya ndoa